Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

📌Braza acha kuwa soft soft women hawakuwa programed kumiliki bali kumilikiwa,hawakuwa programed kuongoza bali kuongozwa,hawakuwa programed kutoa ushauri bali kushauriwa, hawakuwa programed to be anything useful tofauti na chombo cha starehe.

📌Nyie binadamu wabishi ndio mnataka mbadili body ya gari muweke bus wakati engine ni ya ist.Mnawapa mzigo mkubwa sana ndio maana wanaishia kuwafedhehesha na kuwadharau.

📌UKITAKA KUISHI VIZURI NA MWANAMKE MZIDI KILA KITU.NA HAKIKISHA ANAJUA KUWA AKIENDA TOFAUTI NA WEWE UNAUWEZO WA KUMPATIA MBADALA( NEVER BEG TO BE WITH HER YEYE NDIO AWE ANAPAMBANA AWE NA WEWE).MWANAMKE AKITOA USHAURI USIKILIZE ILA FANYA OPPOSITE AU ACHA KWANZA UTAUTEKELEZA SIKU ZA MBELENI.

📌USIJE KAMWE UKAMBEMBELEZA MWANAMKE.HATA UKIFANIKIWA KUMRUDISHA HAWEZI KUKAA KAMA AWALI.AKITAKA KUONDOKA AU KUTENGANA MUONYESHE MLANGO.

📌KUISHI NA HAWA VIUMBE SIO LELEMAMA.NA VIJANA SIKU HIZI HAMUENDI JANDO BASI MAISHA YENU NA WNAWAKE NI TAMTHILIA YENYE KUTIA HUDHUNI.

📌MWANAMKE ANATAKIWA AWE ANAKUITA KATILI,DIKITETA,UNAROHO MBAYA HAYA MAJINA UNAWEZA YAONA NI MABAYA ILA NDIO SIFA NZURI UNAPEWA.MESEJI UNAPEWA NI KUWA AMESHINDWA KUKUCONTROL😀😀😀


📌ILA UKIONA UNAAMBIWA WEWE NI GENTLEMEN,MWANAUME HALISI,MWANAUME WA KWELI NA MAJINA YOTE MATAM MATAM🥱🥱🥱JUA MWANAMKE ANAKUPA MESEJI KUWA WEWE KIAZI MBATATA AMESHAKUJUA JINSI YA KUKUCONTROL.

📌Mwanaume ni mwiko kukaa nyumbani na kupatikana hovyohovyo bora ukiwa huna mishe kabisa ukakae kijiweni au baa mbali na mwanamke.

HUKU NDO KUISHI NAO KWA AKILI KULUKOKUSUDIWA
 
Ondoka mapema kabla hujapata shinikizo la damu plus kisukari
 
Dah na Mimi nataka kuoa nakutana na hii issue naishiwa nguvu
Usiogopee ndugu ila ogopa magoti ya wanawake .....wakikuombea uzuri au malalamiko yao kwako.....ingia ndoa ukijua hilo.....mifano hai kibao sana mwanaume akiwa nazo dharau umalaya kiburi ndani......ikitokea kibao kinageula mwanaume atalalamika pia anataka kukimbia au kujiua....suala kubwa mwanaume uwe mvumilivu na uwe busara na subira saanas x100.....hapo...ujue mapema hhao wenza ni wadhaifu lakini mbelee kuleeer hawaoni....wao ni hisia zaidi kila kitu ni hidia tu....wanaziamini mnooo 99%....wanaume ni facts na akili.....kazi kwako tumeumbwa tofautii kbssss
 
Nakubaliana na wewe [emoji817]
 
Hapo sio kataa ndoa, hapo ni kataa Mwanamke asifanye kazi abaki nyumbani na Hilo ndo kosa lako.
 
Ukinichezea nakubwaga hata tukiwa kwenye situation yoyote ile, sina muda wa kupotezeana mimi. Huyo anatakiwa aende akaenjoy hizo laki 3 zake kwa mwezi ndio ajue maisha si mchezo
 
Hao viumbe nuksi,haitakiwi wawezeshwe kwa namna yoyote ukitaka ndoa yako iwe salama!

Mwanamke akipata mafanikio kidogo wanakuwa viburi sana na roho mbaya.
 
Tatizo kamdomo 😂🤣🤣.., Wala loan Wala after baada
 
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona
Bro relax wanawake ndivyo walivyo kuishi na mwanamke unahitaji uwe na mbinu nyingi za kivita, wanawake ni watoto waliochangamka yaan ndani wana utoto mwingi sana kwa hio inabidi ujue jinsi ya kuishi nao
 
hana chake hapo huyo mwanamke hawezi muheshimu tena.
Hapana sio kweli mwanamke akishika hela ndio anakua mbogo ila hela ikikata akili zinarudi kwa hio hapo atulie tu asubirie muda hela ikikata naona akili itamrudia huyo mwanamke maana hivyo ndivyo walivyoumbwa wakishika hela wanakua viburi, jeuri, dharau, kujiona, majivuno, nk
 
Ndivyo walivyo inabidi uwe na mbinu nyingi sana za kivita kuishi nao kwa amani bila hivyo unaweza ukabwaga manyanga
Hatari mkuu,mie hapa nna mwezi huu wa pili sipewi uroda ndani, uzuri nimempuuza napiga zangu nje maisha yanasonga!
hawa viumbe ukisikia mwanaume kaua mwanamke wala tusilaumu sana,ni viumbe wabinafsi na wenye roho mbaya.
 
Kwahio mi nayeitwa mbishi na mbinafsi niko kwenye raiti traki😂?!
 
Mbona mnaeka Kwa ujumla jaman💔

Baasiii mada ifungwe
 
Wote ndio mpo ivyo,nyie sio watu.
Ongeza

Wakishika hela yaan hela wakizishika na wametoka familia duni isiyojua kushika hela hapo lazima afanye maajabu ya dunia yaan wanakua viburi na mwanaume ili uishi na mwanamke wa namna hio inabidi uwe na mbinu nyingi za kivita ili usije ukaleta balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…