Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

Anguko la kila mwanamume kuna mwanamke nyuma yake. Pole.
 
Tatizo ameshamuonyesha mwanake wake kuwa anamsikiliza.

Mwanaume halisi ni mwiko kumtaka ushauri mwanamke tena maswala ya pesa na maendeleo.Lazima atakuona hauna akili.

Mwanaume kama huna zile 3 BASIC NEEDS OF LIFE.Sitisha swala la kuoa jitafute jipate ndo ufikirie kufaga mtu.

Kuoa goal keeper ni nzuri mara 100 asikwambie mtu.Tafuteni magoal keeper mfurahie uanaume wenu.
 
Huyo sio wako tena hapo tayar anamuwaza yule anaemtaka yeye sio wewe unaemtaka
Sahihi kabisa mwanaume yoyote unatakiwa ujue mwanamke ni aidha uwe juu take au chini yake.Hakuna usawa wa mwanaume na mwnamke katika ubongo wa mwanamke.

Huyo mwamba ashadharaulika na hana chochote cha kumfanya mwanamke wake awe chini yake.

Solution hapo ni kupiga chini tafuta mke wa saizi yako.Tatizo wanaume wa leo wengi wanatumia hisia kufanya maamuzi badala ya kutumia akili.

Mwanaume ukitaka ujisikie mwanaume ndani ya familia inabidi umpite mbali sana huyo mkeo kielimu na kimali au fedha.Yaani hata akiwaza kukufikia ni kwa miujiza.Njia rahisi katika hili ni kuoa GOAL KEEPER!!!!
 
Ambaye atasoma hii komenti na bado akaendelea kukaza fuvu na limkute jambo!!!! Hakuna namna mpigwe tu alahhh,
 
wale wanaume ambao wakikoment,comment zao zinapata like na kusifiwa na wanawake mjitafakari.

Nature inasema ukisifiwa na mwanamke,anza kuudhuria vikao vya wanaume.Wanawake ni wanafiki na hizo sifa ni matusi makubwa sana.

Nyie wanaume wapumbavu na mliobemendwa acheni ufala mtaendelea kulia kila siku.Maana mwanamke akishaweza kukutawala( akijua udhaifu wako kuwa unamsikiliza au kumpenda) kifuatacho ni kukupiga matukio na kukuadabisha.
 
Hii comment iwekewe lamination isije kuharibika 📌
 
Na anafurahia maisha kuliko unavyofikri.Uhuru alionao ni wa mipaka siyo ajiendee tu hamchelewi kutupanda kichwani na majuto makuu yanarudi kwetu.

hadi hapo jamaa hana ndoa tena yeye ajiandae kwa mgao tu au afe na pressure
Jamaa kashashindwa mapema na ubaya hali ikiwa imefikia hapo.Hakuna kitu zaidi ya kukubali kushindwa na kuanza upya.

Kijana anza upya katafute mke unayemmudu.Tafuta GOAL KEEPER.Bora uishi maisha ya kawaida ila ila yenye amani.

Asidhani huyo mwanamke atabadilika.Hapo ndo meshaanza hivyo na hawezi kubadilika kama utatafuta suluhu kwa njia ya DIPLOMASIA.

Kama kijana uliweza kijilipua ukachukua mikopo mara mbili.Jilipue anza kumuacha taratibu kwa kutafuta mke pembeni hata wa ndoa ya mkeka.Mwanaume unabidi ujue kipa siku kwako ni vita.Na mbinu zako hazitakiwi kujulikana na adui.
 
Mkuu mada nimeielewa mpaka nimeielewa tena, ndio maana nimesema mwanamke akikuzidi kipato ni tatizo haijalishi ni katika mazingira gani mkuu, lakini lazima ujue pia usitegemee kupata positive response pale unapambana kwa ajili ya familia au mwanamke, mara nyingi mwanamke anajua kuwa unapambana kwasababu utapata nyapu kwake, sasa ikitokea amekuzidi kipato hapo ataona wewe ni zoba hata nyapu utapata kwa ratiba yake yeye.

Hapo mwamba achekeche akili yake aanzishe biashara yeye ili mke awe msimamizi, sio achukue hela ampe mke aanzishe biashara, avumilie kipindi hiki, akimaliza mkopo achekeche akili yake
 
Kuna options nyingi, usikubali kudogodishwa na mke, regardless kipato chako kikoje.

1. Dharau zikizidi ignore her kwa kila kitu, fanya issues zako, ishi na usipate stress kisa yeye. Sitisha tendo, usimguse ili aende huko nje akutane na wahuni, yeye si analeta ubabe ndani ya nyumba. Akawekwe huko.

2. Penda watoto wako, wajali na wape mahitaji yao.

3. Tafuta mcheps wa kukupunguzia ashki na stress za ngono, ni dhambi ila inahuisha ubongo big time.

4. Akizidisha, separate from each other. Ikiwezekana ondoka muachie kila kitu. Kwa mwanaume kuanza moja haijawahi kuwa tatizo.

Binafsi mamsap akiniletea pigo za feminism na dharau atapata dawa yake accordingly. Mwanamke anaekaribia 40, soko lake lipo chini sana, hawezi kuniendesha sio kwa pesa wala fame.
 
Kazi kipimo cha UTU.
 
Ulikuwa hujui kuwa mke akianza kupata hela anabadilika tabia? Hakuna rangi utaacha kuona, Na uroda atatoa nje
Yani wanawake sijui wakoje, akipata hela badala afurahie na familia yake anaanza kejeli kwa mume na kumuona kama bwege tu kisha ataanza kupigwa pumbu nje. Sijui huwa ni pepo mchafu au nini kinawakumba ila 80% ya wanawake wakimiliki uchumi huwa hivyo. Ndio maana wazee wetu waliwapinga sana kwenye fursa za hela ili wawe duni maana ndio discpline inakuwepo.
 
Hii comment iwekewe lamination isije kuharibika 📌
📌VIJANA WASOME HII COMMENT WAKIWA WAKO SOBER.

📌MAKOSA MENGI YA VIJANA WA KILEO NI KUDHANI YALE YANAYOONYESHWA KWENYE PICHA ZA KIHINDI,KIFILIPINO NA KIKOREA NDO MAISHA HALISI.

📌VIJANA WANATAKIWA WAFAHAMU KILA SAA KILA DAKIKA UKIWA KARIBU YA MWANAMKE HUWA ANAKUPA MAJARIBU NA BILA KUJUA UKIINGIA MKENGE UMEKWISHA.

📌BRAZA HAPO KAMALIZA KILA KITU.MWANAUME HAPA DUNIANI UNATAKIWA UWE NA WIVU NA MAFANIKIO YAKO NA PESA NA MALI ZAKO.KAMWE USIMSHIRIKISHE KIUMBE YOYOTE HASA MWANAMKE KATIKA MIPANGO YAKO.YEYE AONE VITU VINATOKEA TU.

📌MWIKO MWANAUME KUPOKEA USHAURI WA MWANAMKE.HUO NI MTEGO SHTUKA NA UKIMBIE,UKILIJUA HILI UNAJUA HATA MAMAYAKO MZAZI HUWA ANAKUJARIBU KWA MASWALI YA MITEGO NA UKIINGIA KINGI NA YEYE ATAKUSHUSHA SANA.MWANAUME BE MYSTERIOUS(USITABIRIKE).

📌WANAWAKE WANABIDI WAJUE KABISA HILI LIJAMAA HUWA HALINAGA DEMOCRASIA HUWA NENO LAKE NI SHERIA😀😀😀
 
Na hio ndio makusudi yao hao washenzi walioleta hizo sera ili kubomoa na kuzorotesha taasisi ya familia. Toka hilo swala limekuwa implemented rasmi sasa tunaona matokeo yake live kupitia ndoa nyingi kuvunjika na ongezeko la single mothers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…