Nishajaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nakuwa sijisikii poa, I dont feel my Manhood nianze kupika na kuogesha watoto wakati mama yao yupo na haumwi. Huzi shughuli nakuwa huru sana kuzifanya nikitaka mwenyewe lakini sio kwa lazima.Duh! unachangamoto ya kipekee, Kwa kifupi una mke mvivu, inabidi uokoe jahazi, uwe Unapika na kuosha watoto.
Tafuta nyumba ndogo mkuu..ndio dawa yao hao..sikushauri wala uwe unampiga..dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake.Ana miaka 27 sasa. Nakubaliana na wewe hapo kwenye kuwa mbogo lakini tatizo linalokuja kila nikimpiga ananuna hata wiki mbili mfululizo, nishawahi kumpiga mara moja alinijibu ufala akavimba hadi uso lakini wapiiii hakubadilika
Nimekaa nae miaka saba kabla ya kuanza kuishi naeMlikaa muda gani kwenye mahusiano kabla ya kuoana?
................Hao ndio aina ya wanawake wana kucha ndefu kwenye mikono, nywele bandia,nyusi bandia hata kufua chupi zake huyo ni mtihani.
Kuna kitu umesitisha kufanyaHapana mkuu, mwanzoni alikuwa poa kabisa tena mchapakazi anaenijali sana. Hii tabia imeanza ghafla tu baada ya kupata mtoto wa pili
Habari wana JF!!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja….hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika HAPANA. Nikimwambia kwanini hapiki anadai sijaenda sokoni kununua vitu (asa nawaza si yeye ni jukumu lake kwenda sokoni) maana pesa za biashara tunazofanya ni yeye anashika kwahyo sio kwamba haendi kwasababu hana pesa.
Kuhusu watoto ndio kabisa hawalishi wala hawaogeshi, na watoto ni wadogo chini ya miaka 5. Yaani watoto wasipojipambania wenyewe kula ndio basi hawali.
Kuna saa nakasirika kinoma lakini nakosa namna. NIFANYEJE
Asa ukipuuzaa watoto wanaumia man. Maana kuna saa nasema afanye anachojiskia mimi nakula zangu mtaani. Changamoto inakuja kwa watoto…. I keep myself clean and smart always alafu watoto wawe kama hawana wakezi aisee asa ndio maisha ganiKama hajali mpuuze. Wewe jali familia yako. Tatizo mnatarajiaga Miujiza kwenye ndoa. Mm huwa nampuuza Kama vile hayupo. Na mambo yanaenda
Duh! unachangamoto ya kipekee, Kwa kifupi una mke mvivu, inabidi uokoe jahazi, uwe Unapika na kuosha watoto.
Hapana ni jamii ya wamasai wa mjini hawa
Mimi sio mtabiri, jiulize nafsini mwako pia muulize mkeo tatizo ni nini kwa nini awafanyie watoto wake ubaya namna hiyo na aache uvivuKama nini!?
Atakuwa ana aleji huyo ya kuvimba, mwili wake hautaki makofi😄Ana miaka 27 sasa. Nakubaliana na wewe hapo kwenye kuwa mbogo lakini tatizo linalokuja kila nikimpiga ananuna hata wiki mbili mfululizo, nishawahi kumpiga mara moja alinijibu ufala akavimba hadi uso lakini wapiiii hakubadilika
Sasa 27 unataka abadilike nini?! Huyo keshakomaa. Ni mawili, uishi nae hivyo hivyo ukubali kuwa mpole au kama vipi pambana nae kwa kumtafutia substitute wake.Ana miaka 27 sasa. Nakubaliana na wewe hapo kwenye kuwa mbogo lakini tatizo linalokuja kila nikimpiga ananuna hata wiki mbili mfululizo, nishawahi kumpiga mara moja alinijibu ufala akavimba hadi uso lakini wapiiii hakubadilika
Swali nzuri mnoooMlianza hivyo hivyo?
The things we do for loveNishajaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nakuwa sijisikii poa, I dont feel my Manhood nianze kupika na kuogesha watoto wakati mama yao yupo na haumwi. Huzi shughuli nakuwa huru sana kuzifanya nikitaka mwenyewe lakini sio kwa lazima.
Alafu pia kuna saa upo na watu wanakufahamu uanze kufanya kazi za kupika hata ndugu wakisikia wataniona fala sana