Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Naweza elezea through experience, Mwanaume hana KEY ya ufumbuzi wa kila tatizo hasa kwenye malezi au mahusiano manake ni complex issues.Nimeshuhudia wanaume STRONG,WISE,COMPETENT wakishindwa kirahisi kwenye hayo mambo.
 
Makasiriko ya nini how can you force someone to love ur kids nyie nyie wanaume huwa hamtaki watoto wake wengine mnataka waende kwa Bibi au baba zao, tujifunze responsible kwa action zetu wewe uzae then muachane kwa tabia zenu halafu mu force mtoto kupendwa
 
Kwa kweli
 
Nikweli na inatakiwa mzaz wakiume umlete mwanao akiwa ana jitambua kuanzia Elimu ya secondary
 
Nakazia
Kuku Tu Mwenyewe Anafukuza Vifaranga Visivyo Vyake
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Mbinguni Una Nafasi Yako Tena Utakaa Kwenye Kivuli
Ukiwa~Zoom Kama Jiwe
[emoji23][emoji23] jamani tuwe wa kweli mtoto uliyemzaa na WA mwingine upendo huwa ni tofauti bwana tuwe makini na watu tunaozaa only few people Wana huo upendo but it's hard to balance
 
Sisi mbona wakwenu huwa tunawalea kiroho Safi TU?

Wanawake Ni viumbe wabinafsi Sana.
 
Madini matupu umeongea[emoji106][emoji3578]
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Nina uhakika kabla hujamuoa alikuahidi kumpenda mwanao kama mtoto wake[emoji38][emoji38],hao ndio wanawake bhana,ukishamvalisha kale kapete ka dhahabu mbele za umati wa watu ndio utazijua rangi zake zote...
 
Kwa kweli
Watu hawataki ukweli kulea mtoto asio wako ni kazi mno,na hawapendeki hata ukiwa mwema lazima ulaumiwe na hasa mtoto ukute huenda kwa mamake na kulishwa sumu kuwa huyo ni mubaya utalea vipi. Mama wa kambo hupata shida bado na lawama na wakikua wanakutenga.
Kulea mwana asiye wako ni shughuli hata mapenzi hayanogi bana
 
Wao kila siku wanawaponda single mama humu halafu wao wanataka tuwalelee watoto wao.
Ni kibarua kigumu mno,,
Tuache unafiki,,lazima ubaguzi uwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…