Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Kama mama yake yupo mpeleke kwa mama yake
Au kwa bibi zake
Sio wote wanaweza kupenda watoto ambao hawajawazaa
 
Dah ni changamoto kwelikweli imagine uchumi duni huo mara uwaze ada na wewe hujapata tena wako hapo, na hapo mwanaume kisa stress za watoto wewe mama ni mubaya hutakii mema wanawe, na wewe unataka u enjoy space na mumeo Yani tabu tupu
 
Roho mbaya gani zaidi ya nyie mnaozaa hovyo nakutesa watoto bila plan Kwa ku force wanenu wapendwe kinguvu!?
Una mtoto? Ama naongea na binti asiye na mtoto hata wa kusingizia?
 
Ukweli mchungu ni kwamba, hakuna mwanamke anaempenda mtoto asiye na nasaba naye. Tena hasa hasa mtoto ambaye mama yake mzazi bado yupo hai. At least ambaye mama yake alishafariki anaweza kuwa na upendo nae.

Wengine tunawapenda tu hatuna shida nao kabisa
Mi napenda watoto wewe wangu wasiwe wangu nalea tu
 
Hata mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwenzake vyema bila ukakasi siyo jambo rahisi kabisa
Tena siku wanakamsemo akuonyeshe kaburi lake lasivyo mtoto apelekwe kwa Bibi yake
 
Mke wa hivyo unamzalisha na yeye then unamuacha ndyo atajifunza kua mtoto wa mwenzio ni wako pia
Akimwacha Baba anakuwa na watoto wawili halafu atafute sasa mke wakuoa aje kuwalea wote wawili [emoji3][emoji3]
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Aisee hi ni roho mbaya, huyo mkeo anaroho mbaya Sana... Ukute hata ndugu wakija kutembea atawanyima chakula, hiyo no roho ya kimasikini huyo mke hafai.

Ningekua Mimi yaani ni Bora nisijue, lakini amfanyie roho mbaya mbele ya macho yangu... Kwanza namuwasha makofi alafu namtimua, akileta za kuleta nampasua kabisa pumbaav, huu ujinga siwezi kuuvumilia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimechelewa kuona comment yako ila imenifuraisha umesema ukweli mtupu, watu tumepandana vikojoleo vyetu kwa ajili ya kufaraia Sasa hyo kulazimishana ku penda third party vepee na kulaumiana si ndio Kuna kukimbiana jamani, tuache kuzaa bila mpangilio
 
Ngumu kumeza hii, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujawahi kuniangushaa.
 
Ukweli mtupu huu. [emoji122][emoji122]
 
Umemaliza kila kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mommah, nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…