Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Kama mama yake yupo mpeleke kwa mama yake
Au kwa bibi zake
Sio wote wanaweza kupenda watoto ambao hawajawazaa
 
Nabora awe nahata uwezo mzur kiuchumi unakuta bado maisha yake duni analazimisha kuishi na wanae sasa badala kuanza kuenjoy mapenz yenu mnaanza kuishi kwa mashart
Utaskia sina hela mwanangu mwenyew bado cjampelek shule, hamuish vzr wala kupeana nafac ya kuzoeana unaanza kuona ndoa chungu
Dah ni changamoto kwelikweli imagine uchumi duni huo mara uwaze ada na wewe hujapata tena wako hapo, na hapo mwanaume kisa stress za watoto wewe mama ni mubaya hutakii mema wanawe, na wewe unataka u enjoy space na mumeo Yani tabu tupu
 
Roho mbaya gani zaidi ya nyie mnaozaa hovyo nakutesa watoto bila plan Kwa ku force wanenu wapendwe kinguvu!?
Una mtoto? Ama naongea na binti asiye na mtoto hata wa kusingizia?
 
Ukweli mchungu ni kwamba, hakuna mwanamke anaempenda mtoto asiye na nasaba naye. Tena hasa hasa mtoto ambaye mama yake mzazi bado yupo hai. At least ambaye mama yake alishafariki anaweza kuwa na upendo nae.

Wengine tunawapenda tu hatuna shida nao kabisa
Mi napenda watoto wewe wangu wasiwe wangu nalea tu
 
Hata mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwenzake vyema bila ukakasi siyo jambo rahisi kabisa
Tena siku wanakamsemo akuonyeshe kaburi lake lasivyo mtoto apelekwe kwa Bibi yake
 
Mke wa hivyo unamzalisha na yeye then unamuacha ndyo atajifunza kua mtoto wa mwenzio ni wako pia
Akimwacha Baba anakuwa na watoto wawili halafu atafute sasa mke wakuoa aje kuwalea wote wawili [emoji3][emoji3]
 
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
Aisee hi ni roho mbaya, huyo mkeo anaroho mbaya Sana... Ukute hata ndugu wakija kutembea atawanyima chakula, hiyo no roho ya kimasikini huyo mke hafai.

Ningekua Mimi yaani ni Bora nisijue, lakini amfanyie roho mbaya mbele ya macho yangu... Kwanza namuwasha makofi alafu namtimua, akileta za kuleta nampasua kabisa pumbaav, huu ujinga siwezi kuuvumilia.
 
Point kabisa....nashangaaka ata masingle maza oh mie mwanaume akitaka kutulia na mie ampende mtoto wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mie nimependa mbususu yako hayo ya mtoto ya nini tena.

Tukiambiwa tusizae hovyo hovyo nje ya ndoa tunajiadai wajuaji kumbe mafala tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nimechelewa kuona comment yako ila imenifuraisha umesema ukweli mtupu, watu tumepandana vikojoleo vyetu kwa ajili ya kufaraia Sasa hyo kulazimishana ku penda third party vepee na kulaumiana si ndio Kuna kukimbiana jamani, tuache kuzaa bila mpangilio
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Ngumu kumeza hii, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makasiriko ya nini how can you force someone to love ur kids nyie nyie wanaume huwa hamtaki watoto wake wengine mnataka waende kwa Bibi au baba zao, tujifunze responsible kwa action zetu wewe uzae then muachane kwa tabia zenu halafu mu force mtoto kupendwa
Hujawahi kuniangushaa.
 
Mimi nimchukue mtoto wa nini kwani wangu kinichonichosha na huyo mwanaume ku force mwanamke ampende mwanawe kinguvu eti kisa tuna upendo naye nipende na kisicho ni husu.

Nimekutana na wewe ku enjoy life mambo ya zinaa zako zinanihusu nini Mimi, nikitaka mtoto nazaa wangu, ulezi ni kazi ngumu,mie badala niwaze kutafta hela na career yangu na mapenzi niwaze ulezi wa mtoto asiyeni husu huo si ujinga.

Baba njoo tule raha na mie starehe zako za kuzaa hazinihusu kuja Kuni force force.
[emoji23][emoji23][emoji966]Kila mtu ashinde match yake wallah
Ukweli mtupu huu. [emoji122][emoji122]
 
Sasa unachokosea ni kumlazimisha mtu kuwa na hisia kama zako. Usitumie kipimo cha yeye kutokumkubali mtoto wako kama kipimo sahihi cha mapenzi kwako.

Huyo mwanamke hakuja hapo kumsaidia mwanamke mwenzake kulea mtoto amekuja kujenga familia mpya na wewe. Yaani mpate watoto wenu. Hiyo kulea mtoto wa mke mwingine ni ziada au bonus tu.

Sasa fanya hivi hebu kwanza acha kumlazimisha yeye kumkubali mtoto wako. Mchukue huyo mtoto mpeleke kwa mama yako mzazi au ndugu yako wa damu au mpeleke kwa upande wa mama yake mzazi akatulie kwa muda huko ukiendelea kumlea.

Tenga muda kila baada ya muda fulani mfano kila baada ya wiki mbili au kila weekend mtoto awe anakuja na akifika wewe ndie uwe busy nae kumhudumia. Ila usiache kutoa attention kwa mkeo unapokuwa na mtoto.

Watoe out pamoja mtoto na mkeo kisha jenga mazingira ya mkeo na mtoto wasomane tabia na kubond taratibu. Hii acha ichukue muda hata kama ni miaka. Mtoto na mkeo watazoeana taratibu hadi ipo siku utasikia mkeo anamuulizia mbona fulani haujamleta wiki hii.

Usipende kumpa mwenzako "emotional pressure" sababu ya namna wewe unataka iwe.Unapomleta mtoto wako wa nje kwa mkeo ni kama kumtangazia vita sababu anajua huyo mtoto ana mama yake ambae ni mzazi mwenzio so mtoto anaweza waleta karibu, lakini kuna maswala ya mali katika ndoa huwa mwanamke anakuwa na hofu kuwa mali anayochuma na wewe mwanamke wa nje yaani mama mtoto anaweza jimilikisha kupitia huyo mtoto kama akikubali awe sehemu ya familia. So kuna mambo mengi ambayo yanakuwa yanampelekesha anashindwa kuwa sawa kifikra ndo maana unaona anaamua kumind mtoto.

So don't take personal na ukahisi kwa haraka haraka kuwa mkeo ni mtu mbaya kwako.
Umemaliza kila kitu.
 
Mfanyakazi mwenzangu aliletewa mtoto wa kambo. Mtoto kaja na tabia zake.

Mtoto ni noma, akimuona baba yake tu analilia chakula kilichopo jikoni hata hakijaiva.
Baba wa mtoto anamuuliza mke wake "mbona hao watoto wako hawalii njaa huyu ambaye sio wako ndio analia?" Dada wa watu inabidi amchotee mtoto chakula hata kikiwa kibichi.

Akitaka kununulia watoto wake kitu kama hana hela ya kutosha kumnunulia na huyo wa kambo anaona bora aache, hata kama ni mswaki.

Kuwalazimisha walale mchana sasa, alazimishe wa kwake tu huyo mwingine akilazimishwa anaonekana anateswa. Kwahiyo watoto wa huyo dada wakitoka shule wanapumzika, wa kambo anaenda kupuyanga mtaani.

Kuna ile hali ya kumcontrol mtoto asile sana , au asile vyakula vya aina fulani sana. Haloo utacontrol wa kwako tu usithubutu kumcontrol wa kambo umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa huyu dada watoto wake anawawekea chakula cha kawaida, halafu huyo wa kambo sasa anajaziwa chakula kama cha kula watu wa 5. Ukimuuliza kwanini anasema "ukimpa kidogo baba yake anaona unamtesa".

Huu upuuzi mimi kamwe siwezi kufanya, ukiniletea mtoto, nitamlea kwa namna ninayoona mimi inafaa na usiingilie. Tofauti na hapo mwache alelewe na mama yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mommah, nimecheka sana.
 
Back
Top Bottom