Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Mwambie ukweli arekebishe anapokosea,shida kubwa siku hizi ni unyumba.Mtu hamuonani wiki na hizo siku mbili anazokuja ni kimoja chali,ukikaa unakuta ana vimesage vya hovyohovyo huyo mtu unahangaika naye wa nini.
Mkewe kashapoteza hisia nae na huo ndio ukweli mchungu, inaumiza ila hana budi kuukubali na huko mbeleni kuna uwezekano mkubwa sana wa hali kuzidi kuwa mbaya zaidi ya sasa.
 
Mwambie ukweli arekebishe anapokosea,shida kubwa siku hizi ni unyumba.Mtu hamuonani wiki na hizo siku mbili anazokuja ni kimoja chali,ukikaa unakuta ana vimesage vya hovyohovyo huyo mtu unahangaika naye wa nini.
Dada, Mimi ni mtu wa mindfulness.. yaan na concentrate kitu kimoja Kwa muda husika.

Huko unakozungumzia wewe ndo ninakofanya vizuri Zaid kuliko sehem zilizobaki.

Tabia za binadam hubadilika wakati mwingine bila hata kubadilishwa
 
Siko romantic? Umeolewa?? Au una experience na Hawa wakaka wa mtaani.

Maisha sio kitu kimoja ndugu ni mkusanyiko wa vitu.

Romantic ni sehem tu ya maisha ya mke na mume, Kuna mengine Zaid ya hayo
Mkusanyiko wa vitu ndo kama hivyo kumfanya mke wako awe na hamu ya kukujulia hali.

Unafanya tu bora liende ndo maana mwenzio anakuchukulia poa.
 
Tafuta hela mkuu
Hua wanasalimia sana
 
Siko romantic? Umeolewa?? Au una experience na Hawa wakaka wa mtaani.

Maisha sio kitu kimoja ndugu ni mkusanyiko wa vitu.

Romantic ni sehem tu ya maisha ya mke na mume, Kuna mengine Zaid ya hayo
We leta ubishi wako ndoa itavunjika na utakutana na bomu zaidi ya hilo.kaa na mkeo mzungumze vizuri atakwambia ni wapi unamkosea.Kwenye ndoa wote mkiwa wababe hamuwezi kufika popote.
 
Aslaam,
Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu.

Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.

Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala pakazi yangu na siku 2 za mwisho wa wiki kushinda nyumbani na familia yangu, japo mara nyingine ikalazimu hata hizo siku za wiki naweza kuwa nyumbani.

Ila chakushangaza ni hii tabia ya mke kutonisalimia pale anapoamka au wakati flani wa siku.

Nisimpo mpgia mim kumtakia Hali yake na yawatoto ndo basi imeishia hiyo.

Nimejaribu kumuulizia mara nyingi kwanin hanijulii Hali mwenzie hasa pale ninapokuwa mbali na nyumbani?, jibu lake ni kwamba mwanaume ndiye mwenye wajibu wakusalimia familia yake.

Mwanamke na watoto haki yao nikupokea salamu na kujieleza kuhusu Hali zao zilivyo Kwa siku ile.

Nimejaribu mara nyingi kuamka na kukaa kimya bila kumpigia, aisee siku inakatika kabisa hanipigii.

Hili limenishangaza na linazidi kunishangaza kwakweli, yaan mim sina mtu wakunijulia Hali nimeamka naumwa au mzima ni juu yangu.

Kwa wale ambao wameoa au wanakaa na mke hili jambo nikwelii??

Huaga wajibu wakusalimia ni wa mwanaume tu? Hasa pale mnapokuwa mbali na familia zenu?
Ukiona hivyo ujue huna hela mkuu na salamu zake anazipeleka kwa wenye "mapekechee" kama yale ya Mbowe. Cha kufanya tafuta "mapekechee" mengi uone kama salamu zake hazitakufikia kila baada ya dakika 10 au 20. Utasikia babe uko wapi unafanya nini, uko na nani, umekula nini, nimepiga chafya babe njoo nipeleke hosipital n.k
 
Endelea kutafuta hela yeye tayari ameshapata alichokua anakitaka "watoto" sasa hivi wewe huna chako mapenzi yamehamishiwa kwa watoto
 
Ukiona hivyo ujue huna hela mkuu na salamu zake anazipeleka kwa wenye "mapekechee" kama yale ya Mbowe. Cha kufanya tafuta "mapekechee" mengi uone kama salamu zake hazitakufikia kila baada ya dakika 10 au 20. Utasikia babe uko wapi unafanya nini, uko na nani, umekula nini, nimepiga chafya babe njoo nipeleke hosipital n.k
Siyo kweli nimeona watu wenye hela wakifanyiwa kiburi na vijanamke vya hovyo sana , wanawake hawatabiriki cha muhimu tafuta mtu wa kukuliwaza
 
We leta ubishi wako ndoa itavunjika na utakutana na bomu zaidi ya hilo.kaa na mkeo mzungumze vizuri atakwambia ni wapi unamkosea.Kwenye ndoa wote mkiwa wababe hamuwezi kufika popote.
Aaah! Ikivunjika itakuwa ilipangwa iwe hivo, labda tu unishauri nijiandae la Hilo bomu unalosemea.

Kwahiyo hapa tayari ushajua kuwa mwenye makosa ni Mimi tu?

Kiukweli kama kuvunjika ivunjike tu nishafanya jitihada nyingi saana zakumfanya abadilike lakin haikuzaa matunda.

Ni Bora kupeana nafasi yakuanza upya
 
Kuna njemba au kaboda boda kanapigiwa simu 24/7, tena kakikata simu anapiga na kulalama mbona umenikatia simu ! Pole, hana hisia na wewe, hisia zipo pengine,,yupo na wewe kwa ajili ya watoto tu ! Vp mzigo anatoa vzr au unapimiwa ?
 
Aslaam,
Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu.

Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.

Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala pakazi yangu na siku 2 za mwisho wa wiki kushinda nyumbani na familia yangu, japo mara nyingine ikalazimu hata hizo siku za wiki naweza kuwa nyumbani.

Ila chakushangaza ni hii tabia ya mke kutonisalimia pale anapoamka au wakati flani wa siku.

Nisimpo mpgia mim kumtakia Hali yake na yawatoto ndo basi imeishia hiyo.

Nimejaribu kumuulizia mara nyingi kwanin hanijulii Hali mwenzie hasa pale ninapokuwa mbali na nyumbani?, jibu lake ni kwamba mwanaume ndiye mwenye wajibu wakusalimia familia yake.

Mwanamke na watoto haki yao nikupokea salamu na kujieleza kuhusu Hali zao zilivyo Kwa siku ile.

Nimejaribu mara nyingi kuamka na kukaa kimya bila kumpigia, aisee siku inakatika kabisa hanipigii.

Hili limenishangaza na linazidi kunishangaza kwakweli, yaan mim sina mtu wakunijulia Hali nimeamka naumwa au mzima ni juu yangu.

Kwa wale ambao wameoa au wanakaa na mke hili jambo nikwelii??

Huaga wajibu wakusalimia ni wa mwanaume tu? Hasa pale mnapokuwa mbali na familia zenu?
Muache huyo oa mwingine wanawake wapo wengi wanaosalimia
 
Mkuu mimi huwa tukilala pamoja hata kama kila mtu kitanda chake hatusalimiani na nikawaida tu tukiamka ni story za hapa na pale kisha mimi naenda job salam atanisalimia jioni wakati narejea. Tupo vizuri hatuna shida
 
Back
Top Bottom