Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
😄😄NImeolewa hapa hapa kwenye huu uzi😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄NImeolewa hapa hapa kwenye huu uzi😀
Nimekuelewa kiongozi, kwenye ushauri wako Kuna kitu pia nilikuwa nakuwaza nawewe umekiongelea.Pole MKUU
Jiandae kisawasawa.
Kama unawajua vyema wanawake hiyo ni meseji kuwa Hana hisia na wewe na kuna mi mwingine zaidi yako
Tafuta mwanamke mwingine pembeni kwa Siri Fanya awe Mkeo endelea na maisha yako.
Kuhusu Mali Anza kuziweka zingine kwa Siri maana ni kweli yajayo yatakufurahisha kama usipojipanga vyema.
Raha ni kuwa mwanamke hanaga uwezo wa kukuacha kwa siku Moja hivyo una Muda WA kujipanga.
Ukiona mwanamke amekuacha Leo ujue alikuacha zaidi ha miezi sita au Mwaka uliopita
Inawezekana ni kuanzia mwanzo ila mume kachelewa kuizingatia, ila wanawake wengi wana icho kitabia cha kuyapuuza mawasiliano kwa wenza wao tena bila hata sababu ya msingi.Kutokuwa na mawasiliano kuna jambo limesababisha.
Labda atuambie je ipo hivyo tangu amemuoa au ni tabia ambayo ni mpya?
Ha haaa yaani unapewa ushauri wa kubomoa unaupokea kwa furaha😅😅.Nimekuelewa kiongozi, kwenye ushauri wako Kuna kitu pia nilikuwa nakuwaza nawewe umekiongelea.
Ubarikiwe saana
Ila Mrs Byesige😅Kumbe umeolewa humu hausemi🥴
Kwa mwanamke wa aina hii mwenye kiburi hata unyumba kukupa anaona anakusaidiaHizo siku unazokuwa nyumbani huwa mnasalimiana,yani pale ndio mmeamka mko kitandani,unamuuliza habari ya asubuhi,au shkamoo mke wangu au anakusalimia shkamoo mume wangu,ukiweza hili mengine yanakuwa rahisi tu...
😂 kuolewa hoyeeeeNImeolewa hapa hapa kwenye huu uzi😀
Unatujua mnooPole MKUU
Jiandae kisawasawa.
Kama unawajua vyema wanawake hiyo ni meseji kuwa Hana hisia na wewe na kuna mi mwingine zaidi yako
Tafuta mwanamke mwingine pembeni kwa Siri Fanya awe Mkeo endelea na maisha yako.
Kuhusu Mali Anza kuziweka zingine kwa Siri maana ni kweli yajayo yatakufurahisha kama usipojipanga vyema.
Raha ni kuwa mwanamke hanaga uwezo wa kukuacha kwa siku Moja hivyo una Muda WA kujipanga.
Ukiona mwanamke amekuacha Leo ujue alikuacha zaidi ha miezi sita au Mwaka uliopita
Hakuna shida hapo, mwanamke au binadamu yeyote ndivyo alivyo huenda ndivyo alivyo. So huwezi badili chochoteShida ilianzia hapa👇🏿👇🏿👇🏿
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
🤣🤣🤣🤣🤣 Msugue K ipasavyo, , Mwanamke atamuanza mwanaume endapo tu unamsugua vizur Ivo ukiwa mbali naye anakua na wivu wa kua unamsugua mwingine atakutafuta tu plus kumbukumbu ya unavyomsugua , na ukiwa Ndani anakuanza kama sehem ya kukubali shooo unayompa.Aslaam,
Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu.
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala pakazi yangu na siku 2 za mwisho wa wiki kushinda nyumbani na familia yangu, japo mara nyingine ikalazimu hata hizo siku za wiki naweza kuwa nyumbani.
Ila chakushangaza ni hii tabia ya mke kutonisalimia pale anapoamka au wakati flani wa siku.
Nisimpo mpgia mim kumtakia Hali yake na yawatoto ndo basi imeishia hiyo.
Nimejaribu kumuulizia mara nyingi kwanin hanijulii Hali mwenzie hasa pale ninapokuwa mbali na nyumbani?, jibu lake ni kwamba mwanaume ndiye mwenye wajibu wakusalimia familia yake.
Mwanamke na watoto haki yao nikupokea salamu na kujieleza kuhusu Hali zao zilivyo Kwa siku ile.
Nimejaribu mara nyingi kuamka na kukaa kimya bila kumpigia, aisee siku inakatika kabisa hanipigii.
Hili limenishangaza na linazidi kunishangaza kwakweli, yaan mim sina mtu wakunijulia Hali nimeamka naumwa au mzima ni juu yangu.
Kwa wale ambao wameoa au wanakaa na mke hili jambo nikwelii??
Huaga wajibu wakusalimia ni wa mwanaume tu? Hasa pale mnapokuwa mbali na familia zenu?
Mkuu, sijawahi kufanya tukio la ajabu tangia nimemuoa huyu mke.Mambo ya ndoa yana mengi sana kaka. Kupoteza hisia kwa mwanamke wakati mwengine husababishwa na sisi wenyewe. Mtu daily unamchapa matukio wife unategemea hisia zinatoka wapi? Ni vyema pia kujiangalia personally kama uko sawa, inawezekana hana hata mtu lakini tu amechoshwa na reapeted actions zinamtoa mchezoni. Jichunguze mkuu kwanza kabla haujapoint fingers. Communication is key, ikishindikana involve watu wenye hekima wamueleweshe kuna kujisahau pia. Ndoa ni kuvumiliana na kujifunza everyday.
Alivyokuwa anakukwambia kwamba yupo tayari umuoe no wewe ulitangaza ndoa au alijitamkia tu mwenyewe?Inawezekana ni kuanzia mwanzo ila mume kachelewa kuizingatia, ila wanawake wengi wana icho kitabia cha kuyapuuza mawasiliano kwa wenza wao tena bila hata sababu ya msingi.
Limtu linakwambia linakupenda lipo tayari ulioe lakini ukiwa kimya hata mwezi halishtuki alafu ukilipotezea linaanza kujilizaliza umelichezea.
Mwambie ukweli arekebishe anapokosea,shida kubwa siku hizi ni unyumba.Mtu hamuonani wiki na hizo siku mbili anazokuja ni kimoja chali,ukikaa unakuta ana vimesage vya hovyohovyo huyo mtu unahangaika naye wa nini.Mkeo hakupendi na hana hisia nawewe, wapende na kuwajali sana wanao ndio kitu cha muhimu unachoweza kuendelea kufanya.
Nia nilikuwa nayo ila uhalisia wa maneno na matendo yake haviendani hata kidogo, upendo ni matendo na sio maneno.Alivyokuwa anakukwambia kwamba yupo tayari umuoe no wewe ulitangaza ndoa au alijitamkia tu mwenyewe?
Siko romantic? Umeolewa?? Au una experience na Hawa wakaka wa mtaani.Ha haaa yaani unapewa ushauri wa kubomoa unaupokea kwa furaha😅😅.
Kakae chini vzr na mkeo myajenge..inaonekana hata haupo romantic unaboa, labda poa una ubabe wa ajabu ajabu.
Kaongee vzr na mke wako myajenge.
Nyie ndo wale mnaotangaza ndoa siku ya kwanza kabisa..ndo maana mdanganywa sanaNia nilikuwa nayo ila uhalisia wa maneno na matendo yake haviendani hata kidogo, upendo ni matendo na sio maneno.