tatizo kubwa sanaNdiyo maana wanaume wanakufa mapema.
Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo kubwa sanaNdiyo maana wanaume wanakufa mapema.
Pole
Sawa Mr'sYa nini kulazimisha nafsi
Wala sina chakuficha ndugu, hiyo ndo tabia tu amejijengea mim huaga nikiamka lazima nipige sim kumjulia yy Hali. Niliweke ratiba kuwa hata iweje isivuke saa 2 asubuhi kabla sijapiga simu kumjulia Hali.Mimi nilikuwa na kiherehere cha kupiga asubuhi, mara naambiwa namba inatumika.....kuanzia hapo nilifuta namba, sipigi hadi anipigie.....nikiwa na shida natuma msg.....Sasa hivi tunaishi pamoja.
Mtoa mada aseme ukweli kuna kitu anaficha......
Nkipata mda wa kutosha nitaileta iyo mada mkuuWeka hatua zote tujifunze hapa.
Mke itakuwa wa kaskazini huyo ameshajiona nae mwanaumeHana hisia na wewe
Hapana mkuu huyo ana kiburi na analeta mazoea kwenye ndoa, siyo wewe tu nimeshaona case kama yako kwa watu wengiWala sina chakuficha ndugu, hiyo ndo tabia tu amejijengea mim huaga nikiamka lazima nipige sim kumjulia yy Hali. Niliweke ratiba kuwa hata iweje isivuke saa 2 asubuhi kabla sijapiga simu kumjulia Hali.
Nahisi hili ndo likamfanya aone kuwa kupiga sim na kumjulia Hali ni wajibu wangu tu na si wa wote.
kidijital wapi? Yaan mwanamke hanisalimii kisa, kama nipo mbali huko nimepata tatizo, bac lolote linikute tu? Mwanamke wa hvyo napga chin haraka kwa ugomv mkubwaSalamu inaleta ugali kwa meza?
Acha ukoloni kaka maisha sikuhizi kidigitali
Kuna anayejuliwa hali hapo na ndio baba.😂🤣Shida ilianzia hapa👇🏿👇🏿👇🏿
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
Nikweli ni kesi ndogo ila ina madhara makubwaMbn case ndogo sana hiyo.
Very possibleKuna anayejuliwa hali hapo na ndio baba.😂🤣
Salamu ya mke initial bidii katika kazi. Mume akifurahi anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi na kupata pesa nyingi zaidiSalamu inaleta ugali kwa meza?
Acha ukoloni kaka maisha sikuhizi kidigitali
Wewe kwake ni kirakaAslaam,
Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu.
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala pakazi yangu na siku 2 za mwisho wa wiki kushinda nyumbani na familia yangu, japo mara nyingine ikalazimu hata hizo siku za wiki naweza kuwa nyumbani.
Ila chakushangaza ni hii tabia ya mke kutonisalimia pale anapoamka au wakati flani wa siku.
Nisimpo mpgia mim kumtakia Hali yake na yawatoto ndo basi imeishia hiyo.
Nimejaribu kumuulizia mara nyingi kwanin hanijulii Hali mwenzie hasa pale ninapokuwa mbali na nyumbani?, jibu lake ni kwamba mwanaume ndiye mwenye wajibu wakusalimia familia yake.
Mwanamke na watoto haki yao nikupokea salamu na kujieleza kuhusu Hali zao zilivyo Kwa siku ile.
Nimejaribu mara nyingi kuamka na kukaa kimya bila kumpigia, aisee siku inakatika kabisa hanipigii.
Hili limenishangaza na linazidi kunishangaza kwakweli, yaan mim sina mtu wakunijulia Hali nimeamka naumwa au mzima ni juu yangu.
Kwa wale ambao wameoa au wanakaa na mke hili jambo nikwelii??
Huaga wajibu wakusalimia ni wa mwanaume tu? Hasa pale mnapokuwa mbali na familia zenu?
Nakubaliana na wewePole MKUU
Jiandae kisawasawa.
Kama unawajua vyema wanawake hiyo ni meseji kuwa Hana hisia na wewe na kuna mi mwingine zaidi yako
Tafuta mwanamke mwingine pembeni kwa Siri Fanya awe Mkeo endelea na maisha yako.
Kuhusu Mali Anza kuziweka zingine kwa Siri maana ni kweli yajayo yatakufurahisha kama usipojipanga vyema.
Raha ni kuwa mwanamke hanaga uwezo wa kukuacha kwa siku Moja hivyo una Muda WA kujipanga.
Ukiona mwanamke amekuacha Leo ujue alikuacha zaidi ha miezi sita au Mwaka uliopita
HakikaHana hisia na wewe
Exactly its a motivation kwa mwanaumeSalamu ya mke initial bidii katika kazi. Mume akifurahi anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi na kupata pesa nyingi zaidi
Nakubaliana na wewe
Mambo ya ndoa yana mengi sana kaka. Kupoteza hisia kwa mwanamke wakati mwengine husababishwa na sisi wenyewe. Mtu daily unamchapa matukio wife unategemea hisia zinatoka wapi? Ni vyema pia kujiangalia personally kama uko sawa, inawezekana hana hata mtu lakini tu amechoshwa na reapeted actions zinamtoa mchezoni. Jichunguze mkuu kwanza kabla haujapoint fingers. Communication is key, ikishindikana involve watu wenye hekima wamueleweshe kuna kujisahau pia. Ndoa ni kuvumiliana na kujifunza everyday.Aslaam,
Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu.
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala pakazi yangu na siku 2 za mwisho wa wiki kushinda nyumbani na familia yangu, japo mara nyingine ikalazimu hata hizo siku za wiki naweza kuwa nyumbani.
Ila chakushangaza ni hii tabia ya mke kutonisalimia pale anapoamka au wakati flani wa siku.
Nisimpo mpgia mim kumtakia Hali yake na yawatoto ndo basi imeishia hiyo.
Nimejaribu kumuulizia mara nyingi kwanin hanijulii Hali mwenzie hasa pale ninapokuwa mbali na nyumbani?, jibu lake ni kwamba mwanaume ndiye mwenye wajibu wakusalimia familia yake.
Mwanamke na watoto haki yao nikupokea salamu na kujieleza kuhusu Hali zao zilivyo Kwa siku ile.
Nimejaribu mara nyingi kuamka na kukaa kimya bila kumpigia, aisee siku inakatika kabisa hanipigii.
Hili limenishangaza na linazidi kunishangaza kwakweli, yaan mim sina mtu wakunijulia Hali nimeamka naumwa au mzima ni juu yangu.
Kwa wale ambao wameoa au wanakaa na mke hili jambo nikwelii??
Huaga wajibu wakusalimia ni wa mwanaume tu? Hasa pale mnapokuwa mbali na familia zenu?
Dawa atafute demu wa kumliwaza otherwise atakosa motivation kwenye maisha na anaweza kuharibu kazi yake na ndio itakuwa downfall yake huku kwa demu very possible ana jamaa mwingine anampa kiburiHuyo dada Hana Adabu kwa mshikaji
Jamaa atafute pesa kwa shida bado afikiri kusalimia familia yake kama mtoto mdogo au kama yeye ndiye kaolewa bhana