Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Embu tafuta Pisi nyingine haraka sana....huyo kashakuchoka.
Wanawake wanavosumbua na Simu kila mara ndio aseme sio jukumu lake.
 
Kuna muda nakaaga nawaza ikitokea kwa mapenzi ya Mungu mwenzangu akatangulia watasema mimi ndo nimeua maana nitatafuta chozi litakosa au naweza lia kwa kuwahurumia watoto kukosa baba! Kuna stage za ndoa ni ngumu mnoo
Kwanini unawaza yeye kufa na sio wewe kwanza kufa, hiyo inasema kitu juu yako.
 
Khaaa hii nayo kali kuna shida mahali ambayo huijui Mkuu, hii sio kawaida.
 
Haijakosea ila watu ndio mnakosea kutafsir we c unaona kabsa reality mwanaume haridhikag kuwa na pisi moja?, alfu sasa me akiwa na pisi kibao kuna ile moja anaikubali ndio ataijali na matunzo kila kitu.
Kha! Kwahiyo wewe tafsiri yako ndo tuiamini ila wewe huamini tafsiri yetu
 
Ukiwa mtakatifu sana unaonekana bwege
Ila kwa Mungu unatenda yampendezayo.

Umeoa SHETANI.
 
Jitahidi kumkojoza mkeo maana inaonekana hajakojoa mda mrefu!...wanawake hujali pale wanapokuwa nahisia napo...na ili mwanamke awe na hisia siku zote ni kumkojoza mara kwa mara!
 
mjuelie hali kwa kiwango chako yeye akiwa kimya siku ukipitiwa kumjulia hali basi ukikumbuka kumjulia hali fanya hivyo ni rahisi sana
 
 
Kuna muda nakaaga nawaza ikitokea kwa mapenzi ya Mungu mwenzangu akatangulia watasema mimi ndo nimeua maana nitatafuta chozi litakosa au naweza lia kwa kuwahurumia watoto kukosa baba! Kuna stage za ndoa ni ngumu mnoo
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜πŸ‘
 
Tiba yake ndogo sana, tokeni leo mkalale kwenye nyumba za wageni; huko umpige bakora kubwa kisawa sawa usiku kucha, hakikisha anapiga makelele ya kupata shoo ya ukweli.

Ukifanikisha hilo, utakuwa umemuwekea alama ya kukumbuka na kutamani uwahi kurudi mapema umpige ile shoo.​
 
Yaan nimewaza tu kwa mapenzi ya Mungu ikitokea akatangulia, ila nishasema hata mi nikitangulia sitaki aweke matanga yeye na asinizike kabisaa
Pole kwa changamoto. Ndoa zina mambo sana watu tulioona nao wanakuja kuwa watu tofauti sana baada ya ndoa. Nakuombea amani, masikilizano na upendo virudi kila mmoja wenu aweke maslahi ya familia na watoto mbele. Sote tuna changamoto za ndoa Mungu atusaidie
 
Mawazo makali na akili nying sana
 
Kufanya ngono ya kukomoana sio kurudisha mapenzi na hisia za mwanamke, kama kuna mahali anahisi aliwahi kukosea ikamuumiza moyo mkewe aanze kwanza kubadilika amuaminishe taratibu taratibu, mwanamke arudishe hisia kwa mumewe, ila hiyo ya kufanya fanya tu eti ibadilishe kitu? Mwanamke anaweza tu akamtengea akafanya weee hata akachubuka huku moyoni anatukana "huyu umbwa amalize haraka mi nimechoka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…