Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli my friend. Sasa ni kwanini tunang'ang'ania kuoana?Mume na mke huwa ni maadui siku zote, Tangu mwanzo wa maisha.
Sema huwa kuna ule uongo wa kujifanya mnapendana hasa mkiwa mbele za watu. Mkibaki peke yenu Tom & Jerry Comedy.
Ndoa huwa ina upendo mwaka wa kwanza tu, zaidi ya hapo huwa kuna kuvumiliana sana.
Kiongozi una mke au hawala?? Unafikiri kinachofanya mdumu ni nin Kam sio mawasiliano? Nimekuambia huaga nakuwa mbali na familia mda mwingine..Aise mbona kitu kidogo sana hicho mkuu. Bado unashindania salamu na mke wako aise. Amka asubuhi wapigie simu hamjambo toa maelekezo kama yapo endelea na shughuli zako. Mi sijawahi kulalamika kwanini mke wangu haanzi kunisalimia utakua utoto huo
Kiongozi unamawazo ya kipuuzi si Kila ugomvi wa mume na mke chanzo Huwa michepuko.Akiachana na hao wanaomweka busy siku 5 amabzo wewe haupo, ataanza kukutafuta tena.
Kiongozi mbona kama unatumia akili mnemba? Haya ni mawazo yako kweli??Tiba yake ndogo sana, tokeni leo mkalale kwenye nyumba za wageni; huko umpige bakora kubwa kisawa sawa usiku kucha, hakikisha anapiga makelele ya kupata shoo ya ukweli.
Ukifanikisha hilo, utakuwa umemuwekea alama ya kukumbuka na kutamani uwahi kurudi mapema umpige ile shoo.
Unapigiwa bro, acha kujipa moyo, chukua hatuna.Kiongozi unamawazo ya kipuuzi si Kila ugomvi wa mume na mke chanzo Huwa michepuko.
Ni binadam sisi tunaweza kukwazana kwenye mambo mengine.
Kaka mchezaji wa brazil ameachwa na mkewe kwa kuwa mtu perfect sana.Na mwanamke akamuacha hawa viumbe huwa wanatabia ya kukinai kuishi nao ni sawa na kuendesha gari ya manual.Kuna muda unatakiwa uwashie gia namba mbili🤗,kuna muda utapandisha gear na kuna muda unatembelea gia ndogo.Mambo ya ndoa yana mengi sana kaka. Kupoteza hisia kwa mwanamke wakati mwengine husababishwa na sisi wenyewe. Mtu daily unamchapa matukio wife unategemea hisia zinatoka wapi? Ni vyema pia kujiangalia personally kama uko sawa, inawezekana hana hata mtu lakini tu amechoshwa na reapeted actions zinamtoa mchezoni. Jichunguze mkuu kwanza kabla haujapoint fingers. Communication is key, ikishindikana involve watu wenye hekima wamueleweshe kuna kujisahau pia. Ndoa ni kuvumiliana na kujifunza everyday.
😂😂😂Shida ilianzia hapa👇🏿👇🏿👇🏿
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
Amkune vizuri panapowasha walau mara mbili kwa mwezi atatafutwa hata kabla jimbi hajawikaKaka Mshana Jr yupo sahihi kabisa,nafikiri cha kuanzia badilisheni mazingira baadhi ya siku,unaweza mtoa out weekend nzima mkarejea j3 yake or j2 jioni hii itakusaidia kuboresha mazingira.
Mara nyingi wamama wahakuambii jambo kwakumuuliza ila wao ndio huamua lakukuambia km anatatizo,labda km umemfanya kua rafiki yako otherwise wengi siwasemaji
Kwahiyo unamtega hata kama haujapata changamoto yeyote ya ugonjwa au matatizo ili uone kama atakupigia simu?Kiongozi una mke au hawala?? Unafikiri kinachofanya mdumu ni nin Kam sio mawasiliano? Nimekuambia huaga nakuwa mbali na familia mda mwingine..
Vipi kama siku nimepata dharura!? Huoni kama simu yake inaweza kusaidia?
Katika maisha Kuna mambo madogo yanaweza kuweka msingi wa mambo makubwa Kwa wale wenye akili tu.
Unaijua nguvu ya salamu wew?
Nenda shuleni, jeshini uone namna gani salamu inaheshimiwa ushawahi kujiuliza kwann?
Usiishi kimazoea, mwanamke Ambae anaitukuza salamu lazima atakuwa na sifa zote za heshima na utii Kwa mume wake we chunguza tu.
Ukiona mwanamke Hana salamu ujue hata heshima na utii kwako.
Kiongozi emu tumia akili yako kwanza,Kwahiyo unamtega hata kama haujapata changamoto yeyote ya ugonjwa au matatizo ili uone kama atakupigia simu?
Jaribu hiyo njia kuboresha mahusiano yenye changamoto, utakuja kunishukuru badaye.Kiongozi mbona kama unatumia akili mnemba? Haya ni mawazo yako kweli??
OAmkune vizuri panapowasha walau mara mbili kwa mwezi atatafutwa hata kabla jimbi hajawika
SawaKiongozi emu tumia akili yako kwanza,
Ndugu yangu Mshana Jr dunia ya Leo iliyojaa mikiki ya utafutaji, ni wachache wenye Bahati ya kuishi kama familia ya baba na mama from January to Dec. wengi wetu humu, familia tunaziona Mara moja ndani ya mwezi, miezi miwili , mitatu, sita au hata mwaka.Shida ilianzia hapa👇🏿👇🏿👇🏿
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.