Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

Akiachana na hao wanaomweka busy siku 5 amabzo wewe haupo, ataanza kukutafuta tena.
 
Mume na mke huwa ni maadui siku zote, Tangu mwanzo wa maisha.

Sema huwa kuna ule uongo wa kujifanya mnapendana hasa mkiwa mbele za watu. Mkibaki peke yenu Tom & Jerry Comedy.

Ndoa huwa ina upendo mwaka wa kwanza tu, zaidi ya hapo huwa kuna kuvumiliana sana.
Ni kweli my friend. Sasa ni kwanini tunang'ang'ania kuoana?
 
Aise mbona kitu kidogo sana hicho mkuu. Bado unashindania salamu na mke wako aise. Amka asubuhi wapigie simu hamjambo toa maelekezo kama yapo endelea na shughuli zako. Mi sijawahi kulalamika kwanini mke wangu haanzi kunisalimia utakua utoto huo
Kiongozi una mke au hawala?? Unafikiri kinachofanya mdumu ni nin Kam sio mawasiliano? Nimekuambia huaga nakuwa mbali na familia mda mwingine..

Vipi kama siku nimepata dharura!? Huoni kama simu yake inaweza kusaidia?

Katika maisha Kuna mambo madogo yanaweza kuweka msingi wa mambo makubwa Kwa wale wenye akili tu.

Unaijua nguvu ya salamu wew?

Nenda shuleni, jeshini uone namna gani salamu inaheshimiwa ushawahi kujiuliza kwann?

Usiishi kimazoea, mwanamke Ambae anaitukuza salamu lazima atakuwa na sifa zote za heshima na utii Kwa mume wake we chunguza tu.

Ukiona mwanamke Hana salamu ujue hata heshima na utii kwako.
 
Akiachana na hao wanaomweka busy siku 5 amabzo wewe haupo, ataanza kukutafuta tena.
Kiongozi unamawazo ya kipuuzi si Kila ugomvi wa mume na mke chanzo Huwa michepuko.

Ni binadam sisi tunaweza kukwazana kwenye mambo mengine.
 
Tiba yake ndogo sana, tokeni leo mkalale kwenye nyumba za wageni; huko umpige bakora kubwa kisawa sawa usiku kucha, hakikisha anapiga makelele ya kupata shoo ya ukweli.

Ukifanikisha hilo, utakuwa umemuwekea alama ya kukumbuka na kutamani uwahi kurudi mapema umpige ile shoo.​
Kiongozi mbona kama unatumia akili mnemba? Haya ni mawazo yako kweli??
 
Kiongozi unamawazo ya kipuuzi si Kila ugomvi wa mume na mke chanzo Huwa michepuko.

Ni binadam sisi tunaweza kukwazana kwenye mambo mengine.
Unapigiwa bro, acha kujipa moyo, chukua hatuna.
 
Hujaeleza dini yako hapo au Imani zenu.
Kwa Waislam Salaam ni wajib na anaewahi kumsalimia mwenzie anapata thawabu za ziada
Huu ndio Uislam ila pande zingine sijui, watatusaidia wenzetu

Wewe msalimie tu isiwe shida, shetani ana mbinu nyingi
Unaweza kumuacha kisa Salaam
 
Kaka Mshana Jr yupo sahihi kabisa,nafikiri cha kuanzia badilisheni mazingira baadhi ya siku,unaweza mtoa out weekend nzima mkarejea j3 yake or j2 jioni hii itakusaidia kuboresha mazingira.
Mara nyingi wamama wahakuambii jambo kwakumuuliza ila wao ndio huamua lakukuambia km anatatizo,labda km umemfanya kua rafiki yako otherwise wengi siwasemaji
 
Pole sana mkuu unafany ata ambao hawana/ha2na ndoa wazd/tuzd kuona ugumu kuingia kwenye taasisi hyo..
Kiukweli salamu/mawasiliano ya mara kwa mara ni kiungo mhimu kinachochochea mahusiano....
N wqjibu wa kila m1 wenu kusalimia..
Kiukweli anazingua sana huyo jamaa ako
 
Vipi mahitaji mengine ya ki mke anayafanya vizuri ? Kama tendo ,kupika ,usafi ,nk
 
Mambo ya ndoa yana mengi sana kaka. Kupoteza hisia kwa mwanamke wakati mwengine husababishwa na sisi wenyewe. Mtu daily unamchapa matukio wife unategemea hisia zinatoka wapi? Ni vyema pia kujiangalia personally kama uko sawa, inawezekana hana hata mtu lakini tu amechoshwa na reapeted actions zinamtoa mchezoni. Jichunguze mkuu kwanza kabla haujapoint fingers. Communication is key, ikishindikana involve watu wenye hekima wamueleweshe kuna kujisahau pia. Ndoa ni kuvumiliana na kujifunza everyday.
Kaka mchezaji wa brazil ameachwa na mkewe kwa kuwa mtu perfect sana.Na mwanamke akamuacha hawa viumbe huwa wanatabia ya kukinai kuishi nao ni sawa na kuendesha gari ya manual.Kuna muda unatakiwa uwashie gia namba mbili🤗,kuna muda utapandisha gear na kuna muda unatembelea gia ndogo.

📌📌📌BE DYNAMIC NEVER BE THE SAME ALWAYS.VINGINE USIMLALAMIKIE NYAMAZA VINGINE MWAMBIE KWA UPOLE VINGINE KWA KUKARIPIA, YAANI USIZOELEKE.
 
Kaka Mshana Jr yupo sahihi kabisa,nafikiri cha kuanzia badilisheni mazingira baadhi ya siku,unaweza mtoa out weekend nzima mkarejea j3 yake or j2 jioni hii itakusaidia kuboresha mazingira.
Mara nyingi wamama wahakuambii jambo kwakumuuliza ila wao ndio huamua lakukuambia km anatatizo,labda km umemfanya kua rafiki yako otherwise wengi siwasemaji
Amkune vizuri panapowasha walau mara mbili kwa mwezi atatafutwa hata kabla jimbi hajawika
 
Kiongozi una mke au hawala?? Unafikiri kinachofanya mdumu ni nin Kam sio mawasiliano? Nimekuambia huaga nakuwa mbali na familia mda mwingine..

Vipi kama siku nimepata dharura!? Huoni kama simu yake inaweza kusaidia?

Katika maisha Kuna mambo madogo yanaweza kuweka msingi wa mambo makubwa Kwa wale wenye akili tu.

Unaijua nguvu ya salamu wew?

Nenda shuleni, jeshini uone namna gani salamu inaheshimiwa ushawahi kujiuliza kwann?

Usiishi kimazoea, mwanamke Ambae anaitukuza salamu lazima atakuwa na sifa zote za heshima na utii Kwa mume wake we chunguza tu.

Ukiona mwanamke Hana salamu ujue hata heshima na utii kwako.
Kwahiyo unamtega hata kama haujapata changamoto yeyote ya ugonjwa au matatizo ili uone kama atakupigia simu?
 
Shida ilianzia hapa👇🏿👇🏿👇🏿
Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha.
Ndugu yangu Mshana Jr dunia ya Leo iliyojaa mikiki ya utafutaji, ni wachache wenye Bahati ya kuishi kama familia ya baba na mama from January to Dec. wengi wetu humu, familia tunaziona Mara moja ndani ya mwezi, miezi miwili , mitatu, sita au hata mwaka.
Kama umebahatika kuwa na familia mnaishi under one roof mda wote, mshukuru Mungu. Tena sana.
Utafutaji na uhalisia wa maisha umebadilisha mengi. Na hili ni la wote kwa wenye nacho na wasio nacho.
 
Back
Top Bottom