Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

Watu mna ushauri wa kikuda ila ngojeni yawakute
Hebu soma vizuri,huo ni ushauri au kicheko and angalia nimecheka nini,nimecheka comment ya mchangiaji na sio mleta mada,sio lazima kuniquote mkuu samahani
 
Hivi unadhani siku hizi wanawake wanaolewa kwamba eti kweli wamependa? noooop!!! wengi hufuata chapaaa....huku pembeni ana mtu wake wa kufa na kuzikana
Mmh,basi tunatofautiana,kulala na kuamka kila siku na mtu usiye mpenda..shughuli
 
Hahahaaaa ww jamaa umenifurahisha sana
 
Taabu ya nini? Jibebee Shemeji kwa raha zako, si hakuonei aibu.....
 
Mmh,basi tunatofautiana,kulala na kuamka kila siku na mtu usiye mpenda..shughuli
Fikiria mfano ni wewe, age ya kuolewa ndo inakutupa mkono, unaempenda ukimwambia habari ya kuoana anakuambia baaaado saaaaana....sometims hata hana time ya kuongelea hilo suala. ametokea mwingine hujampenda na hayuko moyoni kivile, but yuko very serious kuoa nini itafanya? naomba jibu
 
Dear kuna wanaume wabishi anataka kuvaa yale mashati na suruali kubwa kubwa kumzidi yeye tena ukijiroga umnunulie nguo unazotaka ww utapoteza pesa bure kwani hatovaa na wengine nguo anataka aivae siku mbili ukimuelekeza hakubali kwa hiyo bora kumuacha na kumavoid kutoka nae
 
Ooh mkuu mimi msimamo wangu uko pale pale,nimpende nisipompenda mtu ntafanya zaidi ya mke wa mleta mada...my happiness first...kila siku nasema humu hio 40+ inikute tu sijaolewa lakini sipo tayari kuwa na ndoa isiyo na furaha
 

pole mjomba., kuna mambo mengi ila mosi yawezekana huyu bint umemuoa akiwa ni muhitaji kwako kwamba alikuona na uwezo kidg kifedha lakin hakukupenda sana wewe kama wewe, wewe si type yake hafanani kutoka na wewe ingawa hiyo ndoa aliiridhia tu kwa vile hakuwa na jins kwa ufupi hakupendezwa na wewe na tatizo hili sio kwa wewe tu mifano hii ipo mingi sana katika jamii.,

''mimi nina broo wa anaishi abroad mkewe yupo Africa lakini sikufichi wakisimama hapo wote utashangaa sana kwanini broo amezaa na kumuoa mwanake huyo yaani broo hapendi ata kumwambia mtu kwamba huyu ndo wife wangu licha kumchukua kwenda naye safari 1 au kufuatana naye na baadhi ya watu wanajuwa.

Pili pengine yawezekana sana kiumri hamulingani yeye bado ni mtoto wewe ni mkubwa ushakuwa mzee, hii haitaki tochi ni shida kwa wanawake wa kisasa kufuatana na mtu mkubwa tena kila siku.

Tatu yawezekana sana wewe mke wako unamuendekeza sana yaani kwa ufupi yawezekana umewekwa kiganjani kwa luga ya mtaani sasa hii ndio mbaya sana mwanamke akishakukuoa wewe katika nyumba tegemea mateso tu mpaka utatiwa kaburini.

Lakini mwisho kabisa emu siku 1 jaribu kumsema yawezekana sana atakujia juu, halafu emu jaribu kutishia kumpa talaka ukimuhisi yuko tayari kwa talaka na chochote mtengane jua hapo kuna sababu nyengine iliyojificha ana mtu ambaye sasa yuko tayari kwenye target yake akitoka kwako ataenda kwake na ikibidi hivyo tena bora kuachana naye asikudanganye mtu ndo ni utulivu, raha, heshima, utii na nk. yakikosekana hayo bora uachane naye atakuzingua zaidi tu

pole mjomba., kuna mambo mengi ila mosi yawezekana huyu bint umemuoa akiwa ni muhitaji kwako kwamba alikuona na uwezo kidg kifedha lakin hakukupenda sana wewe kama wewe, wewe si type yake hafanani kutoka na wewe ingawa hiyo ndoa aliiridhia tu kwa vile hakuwa na jins kwa ufupi hakupendezwa na wewe na tatizo hili sio kwa wewe tu mifano hii ipo mingi sana katika jamii.,

''mimi nina broo wa anaishi abroad mkewe yupo africa lakini sikufichi wakisimama hapo wote utashangaa sana kwanini broo amezaa na kumuoa mwanake huyo yaani broo hapendi ata kumwambia mtu kwamba huyu ndo wife wangu licha kumchukua kwenda naye safari 1 au kufuatana naye na baadhi ya watu wanajuwa.

Pili pengine yawezekana sana kiumri hamulingani yeye bado ni mtoto wewe ni mkubwa ushakuwa mzee, hii haitaki tochi ni shida kwa wanawake wa kisasa kufuatana na mtu mkubwa tena kila siku.

Tatu yawezekana sana wewe mke wako unamuendekeza sana yaani kwa ufupi yawezekana umewekwa kiganjani kwa luga ya mtaani sasa hii ndio mbaya sana mwanamke akishakukuoa wewe katika nyumba tegemea mateso tu mpaka utakufa wanawke ni washenzi sana.

Lakini mwisho kabisa emu siku 1 jaribu kumsema yawezekana sana atakujia juu, halafu emu jaribu kutishia kumpa talaka ukimuhisi yuko tayari kwa talaka na chochote mtengane jua hapo kuna sababu nyengine iliyojificha aidha hahitaji tena kutoka kwako au ana mtu ambaye sasa yuko tayari kwenye target yake akitoka kwako ataenda kwake na ikibidi hivyo tena bora kuachana naye asikudanganye mtu ndoa ni utulivu, raha, heshima, utii na nk. yakikosekana hayo bora uachane naye atakuzingua zaidi tu na kukuumiza.
 
Nilileta uzi kuhusu wanawake wasomi. Elimu yake tafadhari kabla sijaanza kukupa ushauri.
 
Muhim kuongeza mke wa 2 tu huyo ndie utakua unatoka nae kila safar atanyooka tu mwenyewe
 
Hehehe umenikumbusha dingi wangu Mtambuzi. Alikuwa akivaa sarawili yabkidwanzi akiivua ikafuliwe 'inapotea'. Hata akiiulizia tunaitafuta nyumba nzima. Sasa si umfichie kuliko kumzira jamani? Raha ya mume kuambatana bwana, mi nikiona nakimbiwa nitajiongeza fasta lol
 
nina walakini kidogo na huyo binti ,binafsi kwa upande wangu naishi kama mimi,nina mchumba na ananielewa kua sipendi maisha ya kuiga ,ukiachilia mbali mambo ya kisasa kuna kufanya mambo kwa kiasi hilo tu ndo nazingatia,sasa huyo mkeo kama ana tabia ya kuangalia waume za rafiki zake wakoje then anataka na wewe uwe namna hiyo kua makini!maana mwisho wa siku kama alishin dwa kukutengeneza pasipo kukuonesha waziwazi ni dhahiri kua huyo ana tamaa au matamanio mabaya!me naamini upendo wa kweli upo tu ,kama haupo haupo sio lazma uvae sana kisasa ndo upendwe,unaeza kua simple but smart na ukapendwa sana tu ,unaeza pia ukawa huna sura ya mvuto na ukapewa upendo na mwenza wako popote pale.....kwa namna nyingine huyo atakua amekuona kama sio level yake na hili linaeza likawa limechangiwa baada ya yeye kutongozwa na watu wenye hadhi ya kiuchumu au hata mwonekano mzuri zaidi yako na hivyo basi kutojiamini na kutopenda watu wajue kama wewe ndo mwenza wake maana upo low class according to yeye anavoona ...la kufanya unaeza mwuliza kama mke wako kwanini hua hapendi hiki na kile ....mnaeza tatua au unaeza jua sababu maana kama ndani mko vyema na mambo mengine sawa basi inaezekana uwalakini uliopo unaeza kurekebishika.
 
Machimachi ya mwembe jini usije kushtukiza manake utajisapraizi. Kuna siku niliona kichogo kama cha bibi kikipotelea ndani. Ila mi nilienda kukusanya ya kaisari
Ngoja kwanza nimalize ziara zangu za kushtukiz kwenye nyumba za kulala wageni wanaotokea Torabora na kuelekea Torabora. Tuko bize kusaka watu wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…