Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kama hajakushirikisha katika kununua gari ujue kuna jamaa wa "nguvu " pembeni. Usipoangalia kuna siku atataka aitwe "mama mwenye nyumba "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann umejiunga JF kama sio umbea kufuatilia mambo ya watu?Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Hivi nyie mnao penda kukaa chini hivi unakaa chini kuongea nini na mtu mzima.......? Asicho jua ni kipi hasa...? . Acheni uzwazwa narudia tena kusema Mwanamke akitangaza vita jua kamaanisha vitaHapana for me, I don't think it's an appropriate approach kwasasa. Cha msingi akae nae chini amwambie kuhusu hali anayokuwa nayo mke wake pale anapohiitaji gari lililonunuliwa kwa mtaji wake. Hiyo statement inaweza ikazaa mengine ambayo yanaweza yakamfanya mwanaume ang'amue kwanini mwanamke anakuwa hivyo
Haa😂😁Kuna mengi huyajui! Siyo kwamba ukiendesha anaogopa kuwa utamsababishia ajali bali anaona aibu kuwa na wewe kwenye gari ndiyo maana anakaa nyuma. Kwa kifupi anaona wewe siyo type yake kwa sasa. Mengi huyajui ila ngoja niishie hapo!
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na MasikioniHuo ndio ukweli... Alishamdharau jamaa kashamuona sio level yake tena habahaha
Usikute mkeo anapigwa biti na jamaa alionunua hilo gari, anashangaa kwanini gari anunue yeye kwa mkeo kisha wewe uendeshe wakati si demu wake. Hata wewe fikiria umnunulie gari mke wa mtu kisha mumewe awe anatambia nalo mtaani, utajisikiaje.....si utampiga biti huyo changu wako?Mimi ni mwanaume wa kawaida, nimejaaliwa kipato cha wastani tu kinachotokana na juhudi za kujihusisha na hiki na kile kwa kupitia kujiajiri.
Mke wangu pia ni mchakarikaji na anaitumikia biashara ya vyombo vya ndani na mapambo ya ndani ambayo kwa pamoja tuliifungua na inafanya vizurir sana.
Tumejaaliwa kuwa na gari moja Suzuki modeli mpya ambayo kiukweli aliinunua yeye mwaka Jana January. Kwasasa mimi ni fundi wa mashine za aina mbalimbali ikiwemo majenereta, magreda, kreni n.k. Na kwa kuwa mishe zangu za kiufundi hazihusishi sana matumizi ya gari ya kutembelea kwahyo huwa naitumia mara chache sana.
Baada ya kumfundisha mkewangu kuendesha akawa nayo kuanzia hapo. Mie Nina pikipiki ambayo hunipeleka huku na kule na kunifanikishia mishughukiko yangu yote bila tashwishi . Ninapohitaji gari kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale au ninapoonyesha dalili ya kwamba nitatumia gari siku hiyo, papo hapo mke wangu huanza kujiskia karaha na ataanza kuongea maneno ambayo yanatoa ishara kwamba hataki ntumie gari.
Ukweli sipendezwi na hali hiyo maana inaudhi sana. Kwakuwa nimeshamjulia huwa nampuuza afu nachukua gari naenda kwenye kusudi nililolenga lkn furaha yake hutoweka kwa siku hiyo na hukereka kiukweli. Ingawa mie ndo niliyemfundisha kuendesha lkn pia haniamini napoendesha gari na hapendi nimuendeshe na kila wakati anasikika akinikosoa ninapoendesha, yani huwa dereva namba moja wakati aliyeshika usukani ni mimi.
Na kwa vile ameshajua pia nampuuza katika hilo, mara nyingi mke wangu huamua kukaa siti ya nyuma kwa vile haamini udereva wangu na huona kama nitamsababishia ajali akikaa mbele.
Kwa ufupi hapendezwi ninvyoendesha gari na hili jambo linanikera sana.
NAOMBENI USHAURI WENU WA KUNIJENGA KATIKA HILI.
Mkuu CCM siyo type yetuHaa[emoji23][emoji16]
Msema Ukweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
Hawana Aibu Wanaichafua Nchi Hao UliowatajaMkuu CCM siyo type yetu.
Nimekupenda bure!! Unakunywa soda gani???Pole Sana Kaka. Pole Sana kwa mkeo kuwa KERO. Wanawake wenzangu tubadilike jamani. Mume wangu siku anataka kutumia gari.... Namuomba mapema kabisa anipeleke usafiri wa bajaji unapopatikana..... naendelea na ratiba zangu kama kawaida. Nikimaliza narudi nyumbani.... Raha mustarehe... Mapenzi Mubashara😂😅. Mapenzi yana Raha Sana Wanawake wenzangu ... Haya Mambo madogo madogo haya tujifunze kuya-ignore. Tujifunze kujishusha kwenye baadhi ya mambo ambayo tunaweza kufanya na hayasumbui sana.... Kwani utapungukiwa nini? .... Pia Tunapunguza mikwaruzano inayoweza kuepukika. Gari zipo tuu. Cha muhimu Penzi na Raha ya MUME.
si ako na bajaji sasa gari ya muke ya niniPole Sana Kaka. Pole Sana kwa mkeo kuwa KERO. Wanawake wenzangu tubadilike jamani. Mume wangu siku anataka kutumia gari.... Namuomba mapema kabisa anipeleke usafiri wa bajaji unapopatikana..... naendelea na ratiba zangu kama kawaida. Nikimaliza narudi nyumbani.... Raha mustarehe... Mapenzi Mubashara😂😅. Mapenzi yana Raha Sana Wanawake wenzangu ... Haya Mambo madogo madogo haya tujifunze kuya-ignore. Tujifunze kujishusha kwenye baadhi ya mambo ambayo tunaweza kufanya na hayasumbui sana.... Kwani utapungukiwa nini? .... Pia Tunapunguza mikwaruzano inayoweza kuepukika. Gari zipo tuu. Cha muhimu Penzi na Raha ya MUME.
acha hizo mkuu!! Ke kumnyima gari si jambo la siri hilo!! Majirani wanaona.Hahahah uko sahihi kabisa basi si kesi! Ngoja nipite kushoto.
Thubuuutu unataka mwenzio afe??Nunua lako na wewe acha kushoboka shoboka na vitu vya mwenzio.