Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Kama hajakushirikisha katika kununua gari ujue kuna jamaa wa "nguvu " pembeni. Usipoangalia kuna siku atataka aitwe "mama mwenye nyumba "
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Kwann umejiunga JF kama sio umbea kufuatilia mambo ya watu?

Toa ushauri utakao jenga kila MTU anayesoma HUCHOTA KITU ,maana wapo wanaojiandaa kuingia kweny ndoa,wapo wanaokumbana na hali hiyohiyo,na wapo wanaokata tamaa kutokana na mikwaruzano ya ndoa...ila baada ya kusoma kila MTU anapata uponyaji wake...wa kuona kumbe kawaida haya mambo anatunza ndoa na wa kuchukua za kuambiwa changanya na zako...nae anafanya yake
 
Nani anafanyia service hilo gari????

Uendeshaji wako ukoje au unafukia mashimo tu?

Nani anajaza mafuta? Isije kuwa unazurura nalo weeee unarudisha kitu empty


Mwisho; mwache alimbuke....

Na wewe uichukulie kama changamoto.....mwanaume halii lii tafuta hela nunua gari kali zaidi ya hilo....huo ndio uanaume.
 
Hivi nyie mnao penda kukaa chini hivi unakaa chini kuongea nini na mtu mzima.......? Asicho jua ni kipi hasa...? . Acheni uzwazwa narudia tena kusema Mwanamke akitangaza vita jua kamaanisha vita
 
Mkeo mchoyo sana mkuu na hata wewe pambana nunua gari yako, ili kulinda ndoa yako maana sikuhizi gari siyo luxury tena ni necessity!

Pole ni changamoto tu ya kawaida sana na inamwisho wake.
 
Kuna mengi huyajui! Siyo kwamba ukiendesha anaogopa kuwa utamsababishia ajali bali anaona aibu kuwa na wewe kwenye gari ndiyo maana anakaa nyuma. Kwa kifupi anaona wewe siyo type yake kwa sasa. Mengi huyajui ila ngoja niishie hapo!
Haa😂😁
Msema Ukweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
 
Usikute mkeo anapigwa biti na jamaa alionunua hilo gari, anashangaa kwanini gari anunue yeye kwa mkeo kisha wewe uendeshe wakati si demu wake. Hata wewe fikiria umnunulie gari mke wa mtu kisha mumewe awe anatambia nalo mtaani, utajisikiaje.....si utampiga biti huyo changu wako?
 
Wewe tafuta mdada mwenye gari kali awe best yako na uzuri wewe ni fundi uwe unamtengenzea bure na wakat mwingine mfanyie service bure. Ukiwa nae karibu ukiwa na shinda muombe akuanzime . Jenga naeazoea ya kawaida husimtogoze.
 
Mke wako ni mchoyo tu, ungekuwa umenunua wewe gari ye angetumia bila shida, ila kwa vile kanunua yeye anaona we hustahili. Wanaume wenzangu, wanawake tunafaa kuishi nao kwa akili, chako ni chenu lakini chake ni chake.
 
Nimekupenda bure!! Unakunywa soda gani???
Kiti moto labda? Najua bongo mnakula sana haya makitu!! Roast! Chukua kwa mangi hapo bill kwangu!!
 
si ako na bajaji sasa gari ya muke ya nini
 
Hahahah uko sahihi kabisa basi si kesi! Ngoja nipite kushoto.
acha hizo mkuu!! Ke kumnyima gari si jambo la siri hilo!! Majirani wanaona.
House girl.
watoto wako.
wageni wa nyumbani mwako wanaona.
Rafiki zako wanaona.
Asa kuna siri gani hapo

Haya sisi humu hatumjui km majirani wajuavyo huenda ni mimi ndo nafanya ivo au wewe!!
Unless otherwise hujui what is siri..

Mpe ushauri tu.dawa anunue la kwake. Lkn kuna hatari ya kuuawa mapema kwa kumjibu hivi...sababu na wewe utamnyima la kwako ataumia.
Dawa yake atakuroga tu ufe!! Hasa mtoto mkubwa akimaliza university.
 
Mke wako mshamba wa magari na limbukeni, mimi hata kama gari alinunia kwa pesa yake mimi ndiyo nitaitumia muda mwingi kuliko yeye
 
Nunua lako na wewe acha kushoboka shoboka na vitu vya mwenzio.
Thubuuutu unataka mwenzio afe??
Mke roho itamripuka sana hata anaweza asione mbele!!

Atamrestisha in piece ili ke amiliki mawili sasa!!
Na kule alikonunuliwa hilo hari anamlingishia na hili la marehem tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…