Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Kuna watu watamshauri vibaya na yeye atekekeze hili Jambo angemwambia mkewe angejirekebisha sio humu.
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
hapo kuna jambo gani jipya zaidi ya ubinafsi tu,then siyo kila kinachoandikwa haha nikweli inawezekana anafikisha tu ujumbe kwa wanawake wale chako chetu,changu changu
 
Ndio tatizo la wanawake wa kuchuma wote, ulipoambiwa ujipange ndipo uoe uliona watu hawataki utiane kwa kujinafasi. Pambana na hali yako.
Kuna mwanamke mmoja aliwahi kuniambia kuwa mimi nimekutengeneza mpaka umekuwa hivyo ulivyo, nilimkata jicho hilo, akajikuta anaomba tu msamaha mwenyewe. Kwasababu yeye kaja na begi lake tu, kila kitu changu.
 
Maelezo ya mtoa mada yana viashiria vya wazi kuwa hilo gali mke amenunuliwa na mchepuko.
 
Ingekuwa inawezekana mgebadilishana jinsia na mkeo, kama wewe ndo umechangia pesa yako katika hilo gari unacholalamika ni nn? We ni mwanaume usiyekuwa na meno au mamlaka hafu unakuja kuomba hayo mamlaka kwa wanaume wenzio. Pambana na hali yako
 
Mimi nisingegusa hiyo gari. Halafu ndani mkishaanza hiki kanunua mke ni chake basi ndoa si imara tena.
 
Duuh! Siku likiwa na tatizo fundi na mfatiliaji utakuwa ni wewe, muulize kama yuko serious kuwa hajisikii vizuri ukilitumia gari, akijibu "YES" achana nalo, tafutq lingine,

Alexander The Great
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Sasa ww unataka hizo kero zake azitolee mbinguni?? Eti social media kwani watu walioko huku kwwnye social media ndio hao hao waliopo huko mtaani ambapo angewafuata huko mtaani.
Acha kuwa na mawazo kama ya mtu aliyezaliwa kipindi cha Nyerere.
 
Ukisoma hapa mtu unasema yes mwanamke si ndo huyu bhana...sasa njoo geuza upande wa pili wa shilling.. Huwez kuamin ndugu msomaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…