Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana


Achana na kuendesha hilo gari, wewe endelea tu na pikipiki. Unapohitaji gari kodisha. Halafu kwenye service na repair atoe yeye asilimia kubwa. Je, kweli ana uwezo wa kununua hilo gari mbali na vikoba?

Je, mna nyumba yenu? Kama ndio, nani alijenga kwa asilimia kubwa kama nae alikuwa anachangia?
 
Mara kibao humu uwa nasema."MALI YA MWANAMKE SIO YAKO".
hao wameumbwa kwa ajili ya kukuzalia watoto na kukulelea mambo mengine hawanaaa.
Ndivyo walivyoumbwa.
Na usidhani kama hakupendi bali ndo hulka yao.
Cha msingi endelea na piki piki yako.
Ipo siku utakuja kununua GARI LA KWENU.
Sio gari lako ni LA KWENU KAMA UTANUNUA.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Kwa chuki hio, unatengeneza ugonjwa utakao kuua mapema. Relax tu mkuu social media kila mtu yupo huru kuandika chchte ili mrad asivunje sheria.
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
 

Pambana upate gari yako mkuu.
 
Hilo gari inaonekana katika manunuzi hukuchangia ni lake.Endapo ulichangia katika manunuzi na hataki ulitumie huyo mke ni mbinafsi na hiyo ndoa haipo mbali kuvunjika stay tune brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini lisinunuliwe lingine bila kuuza Hilo 'la mke'?
 
Bulichekah nunua gari ingine muachie hio 'yake'. Wengi wananunua magari mawili sio kwamba wanawapenda sana wake zao bali kupunguza kukuganda. Mkitumia gari moja Uhuru unapungua.
 
Kama hujui jua sasa. Mali ya mwanaume ikiwemo mshahara, ng'ombe, gari, nyumba n.k. ni mali ya family . Lakini mali ya mke vikiwemo hivyo vyote ni vyake. Na kuvitumia huleta shida nyumbani. Kikubwa jitahidi ununue gari yako nyingine tena kimya kimya. Utaona yeye mwenyewe akijipendekeza tena wala hayo masimango hutayaona tena.

Odhis *
 
Hapo Dawa siku ukichukua nenda kaligongeshe piga mti au daraja haswa haswa engine irud nyuma,Airbags zifumuke kioo cha chembe kama hakijavunjika malizia.....na kama no usiku lichome na moto.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHAI.
 
kama kichwa cha familia kuna mahali umelega sana bro!!!
utoe mtaji kwa 100% na usijue mapato na matumizi?? Mpaka mwanamke ananunua gari kama kichwa huku play your role ipasavyo ndo maana Leo unapitia karaha zote hzo!!
anyway ishakua ktk hali hiyo kama unaenda mke wako na yeye anakupenda ila ugomvi wenu Ni kwenye gari tu Fanya hv Achana na hilo gari as if Ni la jirani yako do not engage kwa namna yoyote ile na inatakiwa ajue hilo, kama kipato kitaruhusu ununue gari lako na ajue kabisa gari Ni lako asitie hata mguu kwenye gari laki mbona mtaelewana tu
Maendeleo hayana chama
 
Kuna mmoja kaacha yote mawili tena kanunua mwenyewe, saizi anapanda daladala haijalishi wote wanaenda mjini.

Gari na amani ya moyo kipi bora?
 
Bro,fanya ununue gari lako tu. Huyo mwanamke ana ubinafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann usimpuuze ukanunua gari badala yake unampuuza kwa kulazimisha kuendesha lake? Na mafuta pia huwa unampuuza anajiwekea? Servise? Ww kumfundisha gari si tiketi ya wewe kulitumia akiwa analihitaji. Nunua gari kali kuliko lake halafu hapo utakuwa umempuuza na atajisikia kupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…