Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Una mdogo wako wa kike ambaye bado hajaolewa??? Maana umeandika material ambayo mke anapaswa kua nayo,nahisi hata mdogo wake atakua hivi hivi

Sent using, Mashikoro Mageni
Thanks for compliments. Wadogo zangu wote wameolewa tayari. Umechelewa Kiduchu
 
Hapo ndipo tatizo litaanzaia kama akisema awe na kauli ya mwisho sioni future nzuri kwenye ndoa hiyo....
Kwa inavoonekana kwenye familia hiyo mwanamke ndo msemaji mwenye kauli ya mwisho so haiwezi tokea tu just abruptly baba awe na kauli ya mwisho kwa ufupi huyo bro he is too late to control the condition apambane tu nayeye anunue gari lake sema nina wasiwasi kama hata pesa anazopata Ni za kwake nadhani pesa zikipatikana zote unapewa mwanamke ndo mpangaji wa budget so yeye apambane tu na hali yake kwakweli coz ugonjwa ameulea yeye alitakiwa audhibiti wakati ndoa bado changa
 
Mwanaume unakuja kulalamika huku, acha hizo, mbona kitu kidogo hicho. Utakuwa mwanaume wa Dar.

Kama unakuta shughuli zako zinahitaji gari, jipange nunua hata Passo 4.5,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Gari yake, ww fanya safar zako bila gari yake ila hakikisha ukirudi sifia Demu aliekupa lift kuwa ana roho ya huruma na ubinadam sana.

Wakati mwingine mwambie kuna rafiki ako wa kike atakuazima gar yake ili yeye asikose kitoka na gari yake
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Gari yake, ww fanya safar zako bila gari yake ila hakikisha ukirudi sifia Demu aliekupa lift kuwa ana roho ya huruma na ubinadam sana.

Wakati mwingine mwambie kuna rafiki ako wa kike atakuazima gar yake ili yeye asikose kitoka na gari yake
Hii inaitwa shughulika nao kwa akili Hawa viumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Nadhani Mimi Ndo utanichukia Mara dufu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nafkiri ulikua hujui kama wanawake ni wabinafsi

Kwa kifupi jiepushe na gar yake hata kama ikatokea mnaenda sehem moja bas wewe mwambie atangulie ww utakuja kwa miguu au chukua hata bodaboda na usionyeshe kuchukizwa na tabia yake wala kulumbana nae kwaajil ya gar we kuwacool tu

ipo siku atajishtukia na atajiona alivyo mbinafs ba atajutia hayo anayo yafanya


GunFire
 
HUELEWEKI:

Umesema gari lake. Kisha ukasema amenunua kutokana na biashara mlioanzisha wewe na yeye.

Kama mtaji wa biashara umetoa wewe mkanunua gari, halafu hataki uguse huyo ni zaidi ya MCHAWI.

NAKUHAKIKISHIA SIKU MALI ZIKIONGEZEKA ATAKUUA ILI ARITHI.

MKEO MBINAFSI SANA, NARUDIA TENA ATAKUUA KISA MALI.

Kaa naye chini umwambie ukweli kuwa hiyo tabia hupendi, kwanini akupangie kuendesha gari wakati pesa umetoa wewe?

Inaonekana amekupanda kichwani, unamuogopa wakati yeye hakuogopi. Mpe makavu laivu, akizidisha dharau uza gari apande daladala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengi huyajui! Siyo kwamba ukiendesha anaogopa kuwa utamsababishia ajali bali anaona aibu kuwa na wewe kwenye gari ndiyo maana anakaa nyuma. Kwa kifupi anaona wewe siyo type yake. Mengi huyajui ila ngoja niishie hapo!
😂😂😂umeamua kuchochea moto
 
Mbona ni kawaida tu kwa wanawake we endelea na piki piki yako mbona hakuna shida.
 
UZA NYUMBA UNUNUE GALI FULL STOP.

ALAFU MRUDI MAISHA YA KUPANGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Gari yake, ww fanya safar zako bila gari yake ila hakikisha ukirudi sifia Demu aliekupa lift kuwa ana roho ya huruma na ubinadam sana.

Wakati mwingine mwambie kuna rafiki ako wa kike atakuazima gar yake ili yeye asikose kitoka na gari yake
Mbona sisi wanaume tukipata magari tunawajari sana na hata kuwanunulia na wao??
 
Kweli kabisa yani humu watu wengine wanamwambia maneno ya kumuumiza, kumpandisha chuki, hasira na kuwaza mabaya zaidi juu ya mke wake.
Mbaya ni mke wake sio sisi watoa hoja na ushauri. Wewe unaona alichofanya mke wake ni sawa?? Wanawake mkipata pesa sijui mnakuwaje . Na ndio maana wengi wenu Mungu hajawajalia.
 
Mkuu we mwongo yaani biashara utoe 100% mtaji Then Gari linakuwa lake?? We nae ni Mbulula.
 
Mbaya ni mke wake sio sisi watoa hoja na ushauri. Wewe unaona alichofanya mke wake ni sawa?? Wanawake mkipata pesa sijui mnakuwaje . Na ndio maana wengi wenu Mungu hajawajalia.
Lakin mimi nilidhani lengo ni kujenga na si kubomoa.
 
Mkeo ni mbinafsi. Si ajabu hata unyumba utakuwa unapewa kwa mashariti. Nakushauri mwachie gari yake, wala usiiguse hata siku akitaka uiendeshe usiendeshe. hata kama mtakuwa na safari ya pamoja usipande gari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…