The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Mkuu shukru mungu kwa hilo kuna mwenzako yeye alioa mke hajui hata kuchemsha chai hajawahi ukumbuke ni ndoa kubwa sana ilifungwa kwa mbwembwe kama zote.Yule bbie akamwambie mme wake sijui kup[ika wala sijawahi kupika hata siku moja kama huamini mpigie simu mama umuulize.....maza akavutiwa waya nae akairi kuwa nikweli hajui maana hajawahi pika hata mara moja na akaomba ampe simu mwanae amuelekeze kupika kwa njia ya simu ......Ni hapo moshi mkuuHao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Inasikitisha kupoteza pesa mda hisia ufunge ndoa yenye gharama kukuta mke ni fake hawezi hata kazi za kawaida kama kuandaa chakula tu kwa wakati, mimi hiyo elitu-cost sio chini ya 27m wakati kuna watu wanafunga ndoa za laki saba tu, na wanapata wake wazuri........nimejifunza kutotumia pesa nyingi kwenye kuoa majuto yanakua kidogoMkuu shukru mungu kwa hilo kuna mwenzako yeye alioa mke hajui hata kuchemsha chai hajawahi ukumbuke ni ndoa kubwa sana ilifungwa kwa mbwembwe kama zote.Yule bbie akamwambie mme wake sijui kup[ika wala sijawahi kupika hata siku moja kama huamini mpigie simu mama umuulize.....maza akavutiwa waya nae akairi kuwa nikweli hajui maana hajawahi pika hata mara moja na akaomba ampe simu mwanae amuelekeze kupika kwa njia ya simu ......Ni hapo moshi mkuu
Singo maza tena hapana ndoa ya ma vetrain ex soldiers wa world war 2 hapana wana kasoro zao kubwa, hawezi kuwekeza hisia zake kwako, kuna sehemu zilienda au zipo kwako ipo kwa shida tu.Tafta single Maza uoe utakuja kunishukuru
Hamchunguzani ndo shida hiyo mnacho angalia makalio,elimu,kwao zipo,mzuri na ukisasa.Inasikitisha kupoteza pesa mda hisia ufunge ndoa yenye gharama kukuta mke ni fake hawezi hata kazi za kawaida kama kuandaa chakula tu kwa wakati, mimi hiyo elitu-cost sio chini ya 27m wakati kuna watu wanafunga ndoa za laki saba tu, na wanapata wake wazuri........nimejifunza kutotumia pesa nyingi kwenye kuoa majuto yanakua kidogo
Wanawake wengi wanaficha tabia zao halisi unakuja kizigundua baada ya kuishi nae kwa mda mrefu.Hamchunguzani ndo shida hiyo mnacho angalia makalio,elimu,kwao zipo,mzuri na ukisasa.
Mnashindwa kujua kuwa jambo la msingi ni tabia yake vingine mnavyo angalia hapo juu vinakuwa vya ziada tu.
Haiingii akilini hadi unaoa hujui kama mkeo hajui kupika yaani hata kuchemsha chai hajawi huyo ni wanini sasa?
Sisi tuliwajuaje na kuona kuwa wanafaa kuwa wake? Hao wengi walipaswa wasiolewe.Wanawake wengi wanaficha tabia zao halisi unakuja kizigundua baada ya kuishi nae kwa mda mrefu.
Mkuu watoto wa 2000 ni mwiko kwangu siwawezi kabisa wana usumbufu mwingi.Unahangaika na watoto wa 2000 wa nini. Hao wanawezana wwnyewe elf 2 kwwa 2000
😂😂🤣🤣🤣😂Simple like that, kuliko kuja kulia Lia humu.Ulimchagua mwenyewe au uliletewa? Piga chini katafute mpishi
Analia nini sasa😀😂😂🤣🤣🤣😂Simple like that, kuliko kuja kulia Lia humu.
Mkuu, imekuaje mpk mmefikia hapo?Mkuu kweli kama lunch alianza kupika saa sita mchana kaivisha saa 11 kwahiyo akianza saa 11 kupika sapa si mutakula asubuhi yake saa 7 usiku hapo utalala saa ngapi natumia busara kimuambia ache kupika tunywe juice tu.
Ni bhamumu chimwi Jomba….!!🤣🤣 abhagasi abho abhafuga jinjala ni bhamumu sana wasu
Mkuu ningefanya je? Kama nikuacha wanawake nilishawahi ila matokeo almost come to be the same udhaifu unatofautiana tu.Mkuu, imekuaje mpk mmefikia hapo?