Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Tunapokwambia kataa ndoa, tunataka uepuke mambo kama hayo.
 
Watoto watakula mawe?
Watoto wanachemshiwa maziwa au uji wa lishe wanawakewa kwenye chupa wanakuwa wanakunywa kila watakaposikia njaa labda na mayai pia, au wanakula kiporo cha usiku.
 
Ukishinda nyumbani ule milo miwili tu,
Kula milo mitatu mikubwa ukiwa umeshinda nyumbani ni ulafi tu.
Mimi nakula miwili kila siku ila watoto wako under 10 ni lazima wale mitatu na evening tea.
 
Ila mzee wako ustaarabu ulikuwa chini sana.
 
Mfundishe mbona kazi ndogo sana hio. Ingia nae jikoni, kama mnapika wote vile atajifunza.
 
Pole sana kaka, kwanza ana umri gan? Pia anajishughulisha na Nini? Hilo suala linaboa sana umenikumbusha kipind flan tulienda Kwa in-law wetu chai ni sa5,6 na hajistukii, ndo lifestyle ndo mana cpend kufikia Kwa mtu labda iwe haiepukik lodg zmejaa
 
Hawa wanajua kuolewa ni kuchakatana tu

Ndo muache kuolea Nyege, kabla hujamuoa alikua haji gheto ukamsoma hizo tabia zake?
 
Kwenye masuala ya ndoa hakuna aliyekamilika mvumilie kwa Hilo maana yamkini na yeye anavumilia baadhi ya madhaifu yako.
Mkuu nimeamua kuvumilia hayo sina jinsi, kwasababu ni gharama kupata mgine kwasasa.
 
Umepata mke mzuri anaehitaji marekebisho kidogo.

1:Ni dhahiri mke wako yupo hivyo kutokana na malezi yake aliyopewa na wazazi wake.

2: Mfundishe taratibu aina ya maisha unayotaka wewe na unaweza kumleta ndugu yako wewe wa kike aje amuelekeze au mpeleke chuoni akajifunze mapishi na usafi, japo hukuzungumzia swala la usafi hasa wa nyumba lakini hayo ni matatizo yanayoendana.

3: Naamini sio mvivu ila tatizo hajui namna ya kutenda analopasa kulitenda ndio maana unamuona anazungukazunguka tu.
 
Mke uta oa mpaka lini wote wana mapungufu mbali mbali huwezi kupata angalau mwenye ukamilivu wa 70% asikundaganye mtu wanawake wana udhaifu mwingi kiliko wanaumme.
Hii ndio point yenyewe mwanawane
 
...WINARYO BE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…