mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Mke ni wako na unamuonea haibu, sisi tusiyemjuwa tunamshaurije akupe chakula cha kukushibisha wewe?Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Aisee eeeh Mungu wanaume tunazidi kupungua duniani wamebakia wavaa suruali tuWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Chakula cha TENDO auWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
😂😂😂😂Pole shemegi, akiingia kulala piga u-turn jikoni zama kwenye masufuria.
Father house unashindwaje kumwambia apike chakula cha kutosha na akupakulie cha kumwagika? Au wife ndio provider we meza?Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
kama hiyo unaogopa hiyo K unaiombajeWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
kama hambo hilo unashindwa kumuambia mkeo,vipi siku ukitaka mtindo mpya wa kufanya ngono,si ndio utajinyea kabisaWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Kuna mada au umetunga uongo? Ungesema uko kwa shemeji au ukweni ningekuelewa kwa sababu hili huwa linatokea sana kwenye jamii zetu. Shemeji anakupa msosi kiduchu mpaka unaishia kuchepuka ili ujazie. Nmeshaona mifano ya aina hii. Kuhusu mume kumwogopa mke mh... labda kama umeolewa na mwanamke mwenye uwezo na uko pale kwa sababu ya shinda zako. Hili huwa linatokea sana kwa jamaa zangu wanaooa wanawake wa kizungu wakiwa majuu. Unakuta msukuma alizoea ugali mgumu na ''ameolewa'' na mwanamke wa kizungu, utadhani ni shamba boy. N kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu. Jamaa alikuwa anasubiri mwanamke aende kazini ndiyo anapika ili kujazia.Jielekeze kwenye mada
We ukigongewa ni halali kabisaWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Unakula kiasi gani? Kuna ndugu yangu mmoja, ulaji wake ni exceptional. Msosi anaofukia hakuna mtu yoyote anayeweza kumdhirisha (siyo kwa sababu ya uchoyo bali huwezi kudhani kama kuna mtu anakula kiasi hicho). Chakula cha watu watatu anafukia chote.Sinaga aibu mbele ya vitu nivipeñdavyo never, nafukia msosi kama viwavi jeshi huku natokwa na jasho ........