Wew kuwa unakula road ukija nyumbani unajazia tu unalala mambo yasiwe memngi alafu jipende mwenyw sanaWakati naishi mwenyewe nilikua najipi kia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Mimi kula haraka haraka sana siwezi Ila naweza wa kula msosi mwingi mda mrefu, kula sio ile ya ratio ya watatu hapanaUnakula kiasi gani? Kuna ndugu yangu mmoja, ulaji wake ni exceptional. Msosi anaofukia hakuna mtu yoyote anayeweza kumdhirisha (siyo kwa sababu ya uchoyo bali huwezi kudhani kama kuna mtu anakula kiasi hicho). Chakula cha watu watatu anafukia chote.
Unakula kiasi gani? Kuna ndugu yangu mmoja, ulaji wake ni exceptional. Msosi anaofukia hakuna mtu yoyote anayeweza kumdhirisha (siyo kwa sababu ya uchoyo bali huwezi kudhani kama kuna mtu anakula kiasi hicho). Chakula cha watu watatu anafukia chote.
🤣🤣Hii tabia wanayo wanawake wengi sana...sijui ni nini..ni wivu ama sielewi..kwani mumeo akishiba vizuri unajiskia vibaya? Halaf usipotombwa vizuri unaanza nyee nyeee nyeee..kumbe maskin ya Mungu unawekewa chakula kama kuku hata ukienda chooni haushushi mzigo heavy..unakunya kama kuku...embu angalien wazee wetu kama ni mtu unaetembelea vijijini unaona wanawake wa kule walivyo na heshima na mapenzi makubwa kwa waume zao, Yan mume unawkewa chakula heavy Yan unakula Hadi unafurahia ..ila huku mijini wanawake wa Beijing china feminists wanataka ule kama mbuzi eti uzungu...maninah...ukiona vipi jamaa nenda zako mtaani ingia chimbo piga menu ya kukutoa jasho shushia na bia halafu tulia
🤣🤣Pumbavu jinga kabisa punda wa mzee mabrook.
Haya leta namba zake ili nikusemelee
SWala dogo sana mke wako siunamwambia tu,Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Sio utoto jamaa anahoja na anateseka jambo la msingi niamwambie ukweli basiIlikuaje ukaoa ilihali bado una utoto hivi?
Pole shemegi, akiingia kulala piga u-turn jikoni zama kwenye masufuria.
KweliHata kama nimetumiwa kama vile warangi wanavyofanyiwa mie mwiko
Akitua kwangu siku hiyo hata kama huwa naingia home saa 12 jioni siku hiyo ntatafuta kitu chochote nirudi saa sita uck
Mzoweshe tabia zako halisi mapema
Maana ukija kuanza baada ya penzi kufubaa yeye atadhani umebadirika
Majanga yanakuwa majanga
Lake zone hatuogopi wanawake isipokuwa tunawapa heshima, anyway Jaribu kuwasiliana kwa upole, mfano:Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.