Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

Aisee ukiwa na mkulima anatokea lake zone ww boss jitaarishe kupeleka chakula kingi mna mtakubaliana chakula hiki cha mwezi ila sasa hohohooooo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole sana mkuu.

Ndio maisha, mimi nawekewa kingi hadi nakipunguza..
 
Nenda sobber House maana huna akili; Huyu ndo Baba anategemewa aongoze familia kama kichwa? Ndo maana wanawake wanawasumbua vijana wa miaka hii, hivi mtu mwenye qualifications zako anaoaje kwa mfano? Mnatukuzia vizazi zaifu maana hamjakuwa kuweza kuitwa wazazi.
 
Ulishawahi kumsikia baba yako analalamika hashibi nyumbani…mzee chagua moja jidunge mtaani kidogo ukifika home unajazia au mchane wife wako siumemuoa bana wewe sindio unatoa ela ya matumizi au unamuogopa mzee vipi bana asee
 
Ndo shida ya Mwanaume kuolewa, Pole.
 
SAbabu ni mbili; ni mchoyo na hakufundwa mwisho ni dalili ya kuwa hakupendi
 
Mijamaa mingine inaogopa wake zao kama majini dah!! Yaani unahisi ukimwambiya ukweli atakumeza mzima mzima, hahahahaha!!!!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Dingi tunakua hivikama nyama unapiga kilo peke yako kwanza kisha home unapeleka kilo halafu unakula kipande kimoja unalala. Dingi hali sana home anakula mtaani
 
Huyo Mkeo Ulimchukua au Ulipewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…