Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Wewe ni muislam? Mkitoa talaka kuna ushahidi wa maandishi?
 

Wiki hii ni ya nenda kwa usalama,wanawake sio nduguzo vuta mwingine mwenye ujuzi wa saloon kabisa,Yuko huko mbeya katumia pesa yako kufungua saloon yake,mtu mwenye laana habadiriki.Na hili liwe fundisho kuto waamini Hawa viumbe,mijitu yenyewe akiwa na pesa katiri akikosa anafungua mapaja ili umuamini,shit.
 
Au ulimla tigo nini Mzee daddy!!
 
Mtoto wako je inakuaje?
Mlioana rasmi au mlikuwa mnaishi pamoja?
Kama mlioana rasmi, bila shaka Kuna taratibu za kuvunja ndoa.
Sio mtu anajiondokea tu.

Fanya kazi, kusanya hela, kadai haki zako.
Apoteze muda na FEDHA kumfuatilia huyo mbuzi!!?..aendelee na maisha yake,vitumbua vingi sana mjini
 

Hii hadithi haina muendelezo yaani mke wako anaenda kuwa mke wa mwanaume mwingine,(kuolewa), halafu inaishia hivyo hivyo, wapi mshenga, wajomba na marafiki wa karibu wa upande wa mwanaume
Huo ni utapeli wa kupunguza shida za maisha,kwanza huenda huyo aloolewa nae wazazi wanamjua ndoo maana ushirikiano umekuwa next level
 
Usimng'ang'anie mwanamke ambaye hakutaki utaumia
 
Sorry.Nje ya uzi.Hivi,bastola inauzwa shilingi ngapi za kitanzania?
NB;Futa mipaka yote ya Ngorongoro. Anza upya.
 
Mbeya sehemu Gani tukamkamate Ili arudishe pesa za watu
 
Wa kazi gani hao washenga?!.. aendelee na maisha yake,mshikaji wangu alioa mke, mzuri kwelikweli,kumbe alikua mke wa mtu
Kwakifupi hakuoa, hapa tunajaribu kubadilishana uzoefu na ndiyo maana labda kaja kwenye jamvi letu hapa jf
 
Wanawake wameshtuka nao sikuhizi full kuwaliza....endeleeni kuumizana
Is not fun , ndio maanq this year pekee matukio ya ukatili kwa wanawake yameongezeka, unafikir ni kawaida nope

Yah wapo wanaume wajinga but si wote. Wanawake wajitahid kuangalia na unaemtendea hayo je anastahili?

Hii kitu imaleta mpasuko kwenye jamii
 
Si umesikia mke kasema mwana si wake
Huo ni uongo wa mwanamke. Huyo mwanamke kadanganya vingi kutimiza haja zake. Je, unamuamini muongo?
Huyu mwamba amesema ana uhakika mtoto ni wake.
Anapaswa kujiridhisha hata kwa vipimo kuwa mtoto ni wake na achukue majukumu ya kumlea.
 
Kuumizana kwenye mapenzi kawaida bro...yaan kawaida Sana...kikubwa kutambua thamani yako then unasonga mbele
 
Mpango wa mahindi ulikuwa wako au wa kwake kama yeye ndo alikuwa na mpango huo bas alikuwa na mengi nyuma ya pazia
 
Huo ni uongo wa mwanamke. Huyo mwanamke kadanganya vingi kutimiza haja zake. Je, unamuamini muongo?
Huyu mwamba amesema ana uhakika mtoto ni wake.
Anapaswa kujiridhisha hata kwa vipimo kuwa mtoto ni wake na achukue majukumu ya kumlea.
Itampotezea pesa na muda, aendelee na shughuli zake,kama mtoto wake ataletewa tu,kuna watu hung'ang'ania watoto,mtoto alikua shombe wa kiarabu lakini jamaa aling'ang'ana,mpaka mzee alihoji ikiwa ana akili timamu,ndipo alipokubali siyo wake na kupewa fidia laki nane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…