Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Kataaaa Ndoa hamtaki mkipigwa virungu mnakuja kuomba msaada

Fanya mambo mengine
 
Ila mtoa mada una wake wengi mno na wote wanakutesa tu, kuna wa kukuzaba vibao, Kuna wa kukunyima papuchi, Kuna wa kutaka kuolewa na x wake, kuna wa kukufukuza kwenye ghorofa lako na kukunyang'anya magari, kuna wa kununua mahindi, nk
 
Mleta mada shiki hiki hasa paragraph za mwanzo.
 
Kumbe huyu jamaa kiazi hivi anatupanga humu.
 
"Umemuacha mama nyumbani, umeacha madogo,
Umemuacha mzee nyumbani umeacha urodaaa
Kunanuka shida nyumbani ooooh oooh,
Kwahiyo boss ZINGATIA MAOKOTO" sauti ilisikika kutoka bar Iliyokuw karibu
Anyway, mkuu hela zako inakuajeee sasa???
 
Shida ni wewe. Mwanamke hata akiwa na elfu 70 tu anakuwa tatizo
 
Kama ni wewe mwenyewe basi inabidi usonge mbele,kulialia hakusaidii chochote,hakuna ataye kuonea huruma zaidi ya wewe mwenyewe.
 
Pole sana Ndugu yangu, all will be well, kila kitu kitakua poa kabisa, just give it time
 
Pole sana mwanangu
Usikonde usiogope
Mwenyezimungu amekuonesha mapema kuwa unaishi na CHUI kwenye ngozi ya kondoo

Tulia muda tutaongea atarudi na kilio JUU aliomba msamaha Nina uzoefu hata miaka 3 haitaisha
Hiyo pesa muache tu afanye kuwa ndio share yake
Bro utapata aliyekuandalia MWENYEZIMUNGU na utaenjoy safi kabisa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…