As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Ahsante Binamu...
Nawe karibu sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu unaliogopa hilo jitu la miraba minne, lifukuze tuu kama linakukeraWaheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta.
Nimewaandikia kwa sababu, huyu jamaa amenishangaza sana, imagine weekend hii iliyokwisha anashinda na boxer kutwa nzima tena kifua wazi, au kwasababu amevimba kifua anataka tumwone au?
Mke wangu na house girl wanafua nguo Jumamosi asubuhi eti anaenda pale awasaidie kufua, natoka ndani namuuliza wife mbona mgeni anafua nguo, najibiwa kuwa eti ameomba mwenyewe, hii ni sawa kweli?
Yote tisa, kumi ni Jana, inafikia hatua linamkuta wife jikoni anasonga ugali linaomba limsaidie kusonga ugali, mgeni gani wa namna hii?
Wadau nitumie njia gani kulitimua hili jitu hapo nyumbani? Kabla halijaleta madhara maana mdogo wa mke wangu naona kama yuko nalo karibu sana, pia wife kaniuliza kama mimi pia naweza kufanya mazoezi nikawa kama hilo jitu badala ya kitambi, ingawa alinieleza kwa utani huku tukifurahi na kutaniana ila najiuliza kwanini aseme sasa wakati hili jitu lipo?
Linakaa hapo sebuleni kwenye video hadi usiku mwingi likiwa na mdogo wa mke wangu bila kujali maadili.
Jumapili nilienda kwenye Bonanza la timu yetu ya veterans narudi nimekuta nyumba nzima hawapo wameenda beach wote pamoja na huyu jamaa.
Hivi unaendaje ugenini halafu unaanza kuleta ujuaji wa namna hii?
Wadau msaada wa mawazo unatakiwa haraka.
Yani nikifkiria story ya ili jitu napata hasira za kurudi tena kucomment.Hahaaaa. Hapo mrahis kuliwa ni shemeji yako na house girl, si ajabu ameshakula au ndio maandalizi.
Wanaume tukikutana na Ke tuna mbwembwe balaaa.
Hili ni fundisho, mgeni wa kiume akija kwako unamuachaje anaangalia TV na mkeo?
Yani kwa ufupi ilo jitu ni kulifukuza tu. Unaliita sebleni wakati ushakusanya nguo zake pamoja ili baada ya maongezi lisepe. Linaendaje beach mke wa mtu alafu mwenye mke hapewi taarifa?kitu cha ajabu ni kwamba, unaruhusu mtu mzima aje kuishi nyumbani kwako, hilo kosa huwa silifanyi na sitakuja kulifanya, na nikilifanya huyo anayekaa kwangu lazima nimuweke chini nimpe vigezo na masharti ya kuishi pale ndani, hata kama kwa mwezi mmoja lazima atimize vigezo na masharti ili aondoke tukiwa rafiki. la sivyo, na kama ni mfanya kazi aende akapange guest ili tusivunjiane heshima. kitendo tu cha mtu mzima kuja kuishi au kufikia kwako kinaonyesha hana heshima huyo hivyo unaweza kumfukuza tu hana umuhimu huyo. binafsi kwamfano mimi nikisafiri sehemu, hata kwa dadangu tu hata awe na nyumba kubwa namna gani siwezi fikia. nitakosa uhuru halafu tunawezavunjiana heshima, kulinda heshima yangu huwa sifanyi hilo kosa, sasa yeye kama mtu mzima na hajiongezi namna hiyo ujue huyo hana umuhimu kwako na hana faida kwasababu uelewa au akili yake ndogo, fukuza tu hilo halitaelewa kama limefukuzwa halina akili. au mkanye.
Kumchana mtu ukiwa umelewa ni udhaifu. Alafu ilo jamaa halina aibu,halitaelewa maana lisivyo na heshima litachukulia tu umelewa.Piga bapa kavu.zen mchana live
Sio boxer tu,bali hata shati hana. Yani ili lijamaa linadharau za hali ya juu.yani mgeni anavaa boxa mbele ya mkeo?pathetic
Kikulacho kaka? Kikulacho, mwanaume yakishaanza machale kwenye boma lako hasa kwenye haya mambo ya mapenzi fanya hima, mwambie yeye na kifua chake na vyuma vyake aende au arudi alikotoka afanye hayo anayoyadandia hapo, wanaume tuko hivyo, hasa wale wasio na wake na makazi, tuko kama wanyama, usishangae jamaa ataanza kusikilizwa kuliko wewe, ghafla mambo yote unayofanyiwa wewe ataanza kufanyiwa yeye, wewe subiri tu, punde utasikia limebadilisha mawazo linaendelea kukaa likikupa sababu tele, tupa kule mkuu, those are red lights flashing in front of your eyes..usidharau hisia zako kabisa..heri awe adui kuliko kuleta tafrani hapo..Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta.
Mkuu mwambie afungashe mapema chukua tahadhari kabla Mali zako hazijaliwa huyo mgeni au msanii
Yawezekana maana mkewe alikuwa akimwambia na wewe fanya mazoezi utoke kifua kama binamu yko ni hii ushaidi tosha kwamba mkewe anamkubali binamu kiaina alafu jamaa mtoa Uzi kasema yeye anakitambi kikubwa hahaha!!!! bado tu anang'ang'a macho!!!Huyu jamaa hajiamini tu ,kama mkewe ana mpango wa kumsaliti hata jamaa akiondoka wata-do tu