Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

Sasa kurasa ishirini kueleza kitu ambacho yeye mwenyewe anakielewa. Si tunaishi wote

Ngoja nikupe Bulletin Muhimu

1. Mke wangu, hata Mimi hili laniuma.

Kwa utaalama wako hapo una page kama 6, Lia lia haswa.

Swali- point nyingine, una vitu gani vingine ? Usikute wewe ni Bure kabisa, hapo utetezi unakuwa mgumu
 
Mlete hapa gharabash car nimpatie ist new model ..............atolipa chochote abaki kuwa mke wako.........
 
Yaani unakosa hata kagari hata kadogo kama haka ka kwangu? (kama kale ka Mr. Bean)
Nai
 
Kaka kununua gari ni mapendekezo tu ya mtu Kuna watu wanapesa ya kununua hizi gari za 18 - 35m ila unakuta mtu anapanda daladala na mda mwingine anatembea kwa mguuu.
 
Kaka kununua gari ni mapendekezo tu ya mtu Kuna watu wanapesa ya kununua hizi gari za 18 - 35m ila unakuta mtu anapanda daladala na mda mwingine anatembea kwa mguuu.

Sasa tatizo Linakuja upo na familia na Memba wa familia wanataka gari.

Katika mazingira hayo unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…