[emoji3][emoji3]una utoto kwa sababu mbili
1.una mazoea mabaya na mkeo hadi anakulamba kofi tena msimu wa masika !!! na baridi hizi
2.umeoa alafu bado unabebishana na vidada huko nje, huu ni ufala
3.baridi zote hizi unakaa na mkeo mnaangalia Tv, tena itakua mnacheki tamthilia ya mama kimbo[emoji23]
Nenda kashitaki polisi Mkuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mawazo na ushauri
Anafaa kuchapwa viboko matakoni kabisaWife wako mpole Mimi ningekupiga migumi hyo mpaka ushangae.
au nasema uongo ndugu zangu ?๐[emoji3][emoji3]
Mapigo yote haya kama fumanizi vile daaahNingalikuwa Mimi ningalimshika ningalimsogeza Kisha ningalimpa vifuti vinaitwa dunia hadaa walimwengu shujaa! Hivi huwa vinapigwa kwenye shingo! Kisha ningalimpapasa kwa pigo maarufu liniitwalo mtama lkn mtama huu unakuwa ni mtama uliochangamka yani anapaa kimo Cha mbuzi na kabla hajatua chini akiwa juu juu anakula ngumi mbili za chemba ya moyo Kama sehemu ya kumsindikiza ktk safari yake!
Akitua chini ntahakikisha hapumziki hapohapo naweka pigo moja linaitwa "zunguka huko nami nizunguke huku tumfinye mshenzi" hili ni pigo la pua Yani unampiga kichwa Cha pua na ili liwe tamu zaidi pigo hili linafaa umpige huku umefumba macho! Kisha angali yupo ktk kilio punde si punde unampapasa mbavu zake kwa pigo linaitwa Israel yu malangoni pako! Hilo unapiga kwa kutumia magoti huku ukibana pumzi ili kuhakikisha pigo linapata patamu na kwa spidi ya haramu! Hapa lazima atakema kwa kukosa hewa hivyo akipiga zogo unasimika ngumi ya mdomo ili kuubadilisha usiitwe tena mdomo bali mudomomo!
Narudi..
UMEOA kweli wewe KENZY, je ungekuta sms ya dume linamsifia kwa mchezo wa jana si ndio ungepasua jeneza lake ili tu umuue vizuriNingalikuwa Mimi ningalimshika ningalimsogeza Kisha ningalimpa vifuti vinaitwa dunia hadaa walimwengu shujaa! Hivi huwa vinapigwa kwenye shingo! Kisha ningalimpapasa kwa pigo maarufu liniitwalo mtama lkn mtama huu unakuwa ni mtama uliochangamka yani anapaa kimo Cha mbuzi na kabla hajatua chini akiwa juu juu anakula ngumi mbili za chemba ya moyo Kama sehemu ya kumsindikiza ktk safari yake!
Akitua chini ntahakikisha hapumziki hapohapo naweka pigo moja linaitwa "zunguka huko nami nizunguke huku tumfinye mshenzi" hili ni pigo la pua Yani unampiga kichwa Cha pua na ili liwe tamu zaidi pigo hili linafaa umpige huku umefumba macho! Kisha angali yupo ktk kilio punde si punde unampapasa mbavu zake kwa pigo linaitwa Israel yu malangoni pako! Hilo unapiga kwa kutumia magoti huku ukibana pumzi ili kuhakikisha pigo linapata patamu na kwa spidi ya haramu! Hapa lazima atakema kwa kukosa hewa hivyo akipiga zogo unasimika ngumi ya mdomo ili kuubadilisha usiitwe tena mdomo bali mudomomo!
Narudi..
Umemzingua kakuzingua๐Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.
Ndugu zangu,naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.
Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.
Je, nifanyaje wakuu?
Kwa kweli mume wa mtu unatanianaje utani wa hvoAnafaa kuchapwa viboko matakoni kabisa