BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Yani kuna vitoto vibichi kabisa toleo jipya halafu huangaike na mtu anayenuna tu bila kusema shida nini?Mkuu inatokea ila mpe muda tu .. ukizidiwa mbake
tatizo ni Hilo tu unategemea angekujibuje wanawke wengi tu napenda kununa hata ukikosa hayo mambo kisawasawa endelea kumbembeleza atakupa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoa mada anampenda mkeweYani kuna vitoto vibichi kabisa toleo jipya halafu huangaike na mtu anayenuna tu bila kusema shida nini?
Yani Magufuli atujaze stress na nyumbani nako stress? Labda siyo mimi huyo.
pole mkuu una mda gani unanyimwa huo unyumba mie najua ni Hasira ya kipindi kifupi hatimay yanakwisha tena tunanuniana chumbani may be ana lake jamboSasa kununa ndio unaleta na majibu ya dharau na mikato? Unabembelezwa umenuna tu? Mume ametoka safari hata kumjali hakuna? Hivi mnatufikiriaje? Don't you know mnachangia kiharibu familia?
Mekuu usipite kimyaaa hvyoo mkuu kijana anahtaji nasaha zakoNapita
pole mkuu mkae muyazungumze may be kapata mchepuko au iko namna nyingineMkuu mimi sikumnyima nadhani umesoma kuwa ni yeye alininyima na sio mara ya kwanza kuwa na tabia hizi
Mkuu kuwa Mpole tuMapenzi ya kubakana/kulazimisha huwa hayanogi ni sawa na unazini na kahaba hakuna affection yoyote
Hivi lakini katika akili ya kawaida tu utakuwaje na kimke kimoja tu? Hizi ni shida za kujitakia au roho za kichoyo yani pesa yako unataka ule na mkeo tu.Sasa kununa ndio unaleta na majibu ya dharau na mikato? Unabembelezwa umenuna tu? Mume ametoka safari hata kumjali hakuna? Hivi mnatufikiriaje? Don't you know mnachangia kiharibu familia?
Yaani wewe badala ya kurudi home kuanza kuongea na mkeo aliyekumiss ukakimbilia kwa ndugu
Wakati mnalala hata kumpeti peti kumuuliza yaliyojiri...hali yake nk unataka kumparamia????
Anyway... atakuwa poa mtanjinjuana tu
Mkuu Matola nakuelewa lakini natafuta Positive solution as I know mchepuko won't be positive and I am done with thatMatolnakuelewa 18587126 said:Yani kuna vitoto vibichi kabisa toleo jipya halafu huangaike na mtu anayenuna tu bila kusema shida nini?
Yani Magufuli atujaze stress na nyumbani nako stress? Labda siyo mimi huyo.
Basi ana stress zake tuBADILI TABIA embu soma tena uzi wangu uelewe. Wageni walikuja home na baada ya kuondoka ndipo nikamfuata tukawa tunaongea yote kuhusu safari na mambo ya nyumbani tena wakati wageni wapo home nilimfuata room nikamwambia asijifeel isolated wakiondoka nitakuwa naye. Na wageni tuliwasindikiza pamoja naye yaani to my surprise ikawa hivyo later tulivyokubaliana home sikusema yote hapo kuhofia uzi kuwa wa kuchosha sana kusoma. Please advise
Kwani wewe tangu enzi za manabii au katika vitabu vyote ulivyosoma ni waoi ulikuta mwanamke ana mume zaidi ya mmoja?Kama umeoa au bado cku na we we upate tatizo lakibnadamu ushindwe kushinduaa mkeo au mpenzi wako nae atafute wakumshinduaaa hope utajifeeel muruaaaaa!!!!!!
mwanamke ana moyo Mno m nalala pmj anakuacha tu mmh Mpe hekoHuwa inajitokeza then nikisema anajirekebisha then yanajirudia sasa ni too much.