Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Kumbe wewe mnyamwezi!
Fanya hivi kaka...usimuulize. Na wewe msave KUKU halafu piga Kimya...siku akiona akauliza ndo hapo muongee.
 
Kumbe wewe mnyamwezi!
Fanya hivi kaka...usimuulize. Na wewe msave KUKU halafu piga Kimya...siku akiona akauliza ndo hapo muongee.
Akimsevu kuku afu waroho tukamla kimasihara asitulaumu....

Maana nyama ya kuku tamu sana
 
Fala wewe usie na kazi kutwa kuwinda simu ya mkeo.Tulio bize na life tumeacha huo utoto wa kupekua simu za wenzi wetu.Mbwa og wewe

Ndo maana mkeo kakuita Mbwa, unajua sababu? Wewe umeitwa Na mkeo Mbwa , hatari Sana!
 
Mbwa ana tabia

Mkuu Billie pole sana.muombe basi akupunguzie adhabu ili angalau akuite Mbuzi
 
Ukiwa unarudi tafuta dereva akuendesha labda kama utatumia usafiri wa umma
 
Tafuteni Uhuru na amani maishani mwenu,acheni haya mambo ya ndoa haya.watu wanakufa sana bas tu
 
Blaza pole..ila dhibiti hasira Mana unaweza ukambanika mtu kwa magunia ya mkaa
 
Afu bro[mention]Billie [/mention] me hua nakuona kama n smart sana
Sasa kwanini imekua hivyo? What’s wrong man?! Kuna shida yoyote kabla?
Maana sio kidogo
En bila shaka amegundua kama umeona
Vip reaction yake baada ya hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…