Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Wanaume wote ni mbwa.Kwani wewe sio Mbwa?
Umejuaje?
Hebu bweka tujiridhishe
Sio maneno yangu lkn.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wote ni mbwa.Kwani wewe sio Mbwa?
Umejuaje?
Hebu bweka tujiridhishe
Na Mbwa huoa MbwaWanaume wote ni mbwa.
Sio maneno yangu lkn.....
Siyo Umbwa = Mbwa
Fala wewe usie na kazi kutwa kuwinda simu ya mkeo.Tulio bize na life tumeacha huo utoto wa kupekua simu za wenzi wetu.Mbwa og wewe
Kumbe wewe mnyamwezi!Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.
Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.
Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Kumbe na wewe unachekaga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo nimecheka sana
Hapana haipo hivyo hata kidogo. Mbwa na abaki kuwa mbwa.Na Mbwa huoa Mbwa
Au nasema uongo ndugu zangu
Akimsevu kuku afu waroho tukamla kimasihara asitulaumu....Kumbe wewe mnyamwezi!
Fanya hivi kaka...usimuulize. Na wewe msave KUKU halafu piga Kimya...siku akiona akauliza ndo hapo muongee.
Na mke wa mbwa aendelee kuwa mke wa mbwaHapana haipo hivyo hata kidogo. Mbwa na abaki kuwa mbwa.
Mnakera sana nyie wanawake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo nimecheka sana
Fala wewe usie na kazi kutwa kuwinda simu ya mkeo.Tulio bize na life tumeacha huo utoto wa kupekua simu za wenzi wetu.Mbwa og wewe
Ha ha haaNa mke wa mbwa aendelee kuwa mke wa mbwa
Basi sawa
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.
Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.
Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi
Mkuu Billie pole sana.muombe basi akupunguzie adhabu ili angalau akuite MbuziTulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.