karume msaka
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 412
- 721
Inaonekana mke wa jamaa alilibadirisha jina la mumewe pindi alipokuwa na mchepuko wake Ili kuuficha mchepuko usigundue kama ameolewa, na Hadi kufikia hapo mke wa jamaa alisahau kubadirisha tena jina. Kama si kusahau kabisaaaaMbona kama tunanywesha chai ya kuunguza sukari hapa...
Simu ya mkeo hujui ilipo, then anatumia simu yako kuipigia simu yake na wewe waenda itafuta mahali itapoita...
Hapa najiuliza, kama mkeo anajua jina lako alilosave ni MBWA, iweje alikuachia wewe ndio ukaifuatilie simu mahali itapoitia?
Je, alitaka uone vile amekusave? Kama hii sio chai basi jibu ni NDIO...
Nini cha kufanya, if you think you're clean basi muulize kwa nini amekusave jina hilo?