Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Mbona kama tunanywesha chai ya kuunguza sukari hapa...

Simu ya mkeo hujui ilipo, then anatumia simu yako kuipigia simu yake na wewe waenda itafuta mahali itapoita...

Hapa najiuliza, kama mkeo anajua jina lako alilosave ni MBWA, iweje alikuachia wewe ndio ukaifuatilie simu mahali itapoitia?

Je, alitaka uone vile amekusave? Kama hii sio chai basi jibu ni NDIO...

Nini cha kufanya, if you think you're clean basi muulize kwa nini amekusave jina hilo?
Inaonekana mke wa jamaa alilibadirisha jina la mumewe pindi alipokuwa na mchepuko wake Ili kuuficha mchepuko usigundue kama ameolewa, na Hadi kufikia hapo mke wa jamaa alisahau kubadirisha tena jina. Kama si kusahau kabisaaaa
 
Aahahahahaa babuuu...

Huyo jamaa hajui mkewe ji Mngoni na kule kwao majina ya wanyama ni sifa....

Tena ashukuru kamsevu mbwa muda wowote anaweza kuseviwa kama ng’ombe au chura😆😆😆
Au aseviwe Kitimoto tupate kitafunio cha K Vant
 
Pole sana kwa kuoa binadamu, kuishi kwenye nyumba yenye master bedroom, kuwa na smart tv yenye app ya Netflix n.k
 
Inaonekana mke wa jamaa alilibadirisha jina la mumewe pindi alipokuwa na mchepuko wake Ili kuuficha mchepuko usigundue kama ameolewa, na Hadi kufikia hapo mke wa jamaa alisahau kubadirisha tena jina. Kama si kusahau kabisaaaa

Bora umesaidia kumfafanulia maana jamaa naona haelewi hata kidogo
 
Huyu ndiye mwenye legal rights kama next of kin, ukipata ajali anaweza kuwaambia madaktari wasiendelee ná matibabu na uamuzi wake ukaheshimiwa.

Ukifa yeye ndiye mrithi wa hata ile dog kennel uliyojijengea.
Dah when you think about this unajipiga kifuani unasema "eeh mola muumba wa mbingu na nchi niepushe na kikombe hiki"....Na madam upo sahihi kabisa unakufilia mbali anabaki anajivinjar make "mbwa" keshajifia hakuna wa kumbwekea tena
 
tabia zako


inawezekana ni malaya sana (kwa waziwazi au kificho)

kachokaaaaaaaaaaaa
 
MAJIBU YA THREAD YANGU:Nimemhoji akaanza kucheka mpaka akapaliwa anasema eti alinisave hivyo kwa sababu nilimuudhi week iliyopita alikuwa ananipigia sasa mimi sikuwa napokea simu kwa sababu nilienda kuangalia NGUMI boxing live wakina Pendo njau na team yao ya vitasa walikuja mkoani kwetu maana mi nimpenzi wa Boxing.
So anadai alipanic kwa sababu usiku ulikuwa umeenda sana alikuwa ananisubiria huku anakunywa RED WINE(alta wine) so stress jumlisha na kilevi zikampelekea anisave hivyo na alisahau kubadili ndo maana ikawa hivyo.HATA HIVYO NIMEMUELEWA SIKUTAKA KUCOMPLICATISHA SITUATION KWA SABABU KUACHANA NAE KWANGU NI LAST OPTION NINA WATOTO NAE WATATU.OVER*
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Mkeo ni Mnyamwezi? Wewe umeshakula mashuntama. Hakuna wanawake wanapenda madawa kama wanawake wa Kinyamwezi umesharogwa. Na Tabora upo sehemu gani nikutafute. Unakidhibiti kabisa mkononi Mkeo kakuita MBWA na ukaamua kusafiri nae mpaka Tabora samahani sijasema wewe ni FALA. achana na huyo mwanamke. Unajifaraghua sijui unachumba cha my son kuwa Film Maker kumbe baba JIBWA koko. Funguka wewe akili. Muache kwanza kwao mpaka apate akili. Wanawake wa Tabora ni tabu sana kuwahandle.
 
[emoji4]
a287bcd53aff446093dfda85567f521d.jpg
 
Hii story inafanana na scam mwanamke anajua alivoku save definitely. Kwa akili hata za darasa la saba asingeweza kubaki na simu yako iliyoipigia simu yake akuache wewe ukaone upande wa pili a registered missed call from MBWA… it just doesn’t add up.
Either huu ni uwongo wote au hujasema ukweli wote
 
haya mambo ndo hufanya uzi uonekane CHAI

...chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS....
 
Ila Billie matendo yako yanaweza mfokisha mwanamke yoyote asiye na nguvu ya kuhimili kukusave hivyo.

Tafakari rafkir yangu!!
 
Back
Top Bottom