Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Aisee nakuonea huruma sana, hao Watoto angalau watakusaidia asijiachie sana lakini kuliwa ni lazima, huu ndio ukweli mchungu ambao ni lazima ukubaliane nao.
 
Nipo hapa shinyanga pliz nipatie mawasiliano yake niwe mwenyeji wake[emoji120][emoji120]
 
Dahh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huyu shemeji tena nimke wamkuu mwenzetu humu hivyo lazima aheshimiwe ananyonyesha bado hatuwez kumharibia mtoto bhana usiwaze vbaya kias hicho
 
Thread 'Mke wangu kapata kazi Mkoani!' Mke wangu kapata kazi Mkoani!
 
Mtihani
 
Mwaka jana ulituambia alipangiwa kazi Kagera,hakwenda kule au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…