Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

Muache aende na mtoto ila mtaftie msaidizi. Ila kama wewe ni baba wa nyumbani mwambie akuachie tu.
Tafuta sana pesa kwa ajili ya watoto wako baadae.....

Kwa sasa akili yako elekeza kwenye kulea watoto wako kwa % kubwa maana akishaenda huko ni hatari hatarishi. Yaani ni 50/50
kama atafuatafuata tu anaweza kushindwa kuitunza ndoa
 
Ndio maana sitaki kuoa.

Kuoa ni mkataba wa kijinga sana.

Mpaka unafkia kuoa basi umejiweza kila kitu na sio tegemezi.

Nyinyi wote ni wategemezi wa kazi.

Hapo kuna HELA na Ndoa vita yake si ya kawaida.
 
Muache aende na mtoto ila mtaftie msaidizi. Ila kama wewe ni baba wa nyumbani mwambie akuachie tu.
Tafuta sana pesa kwa ajili ya watoto wako baadae.....

Kwa sasa akili yako elekeza kwenye kulea watoto wako kwa % kubwa maana akishaenda huko ni hatari hatarishi. Yaani ni 50/50
Mkubwa 3yrs, Mdogo Mwaka mmoja katimiza mwezi huu
Bado mke Ni mbichi kuliwa kuko pale pale
 
Wewe ndo unawaweza watu waliopinda wa hapa JF hapo lengo lake uonekane muongo Safi Shem Darling wangu.Haya tuendelee na madam jibu umechagia vipi?Mimi Kama Shem wako nakushauri acha waende huko watakuwa salama tu bila neno.Wewe kubaki na watoto is Big No.Watoto Wana vile vihoma vya kupandisha joto usiku is only a mother can understand this and take immediate measure to it.
Ahsante sana flowerss umetisha sana Shem, ujue hapa si kwamba ninakaa peke yangu, nakaa na mdogo wangu wa kike, nipo na mfanyakazi na wadogo zake wawili wa kiume, so nilihisi hata kama si mim wa kulea watoto wadogo zake wapo na watasaidiana na mdogo wangu pamoja na huyu HG, ila kwa maoni haya, nimeamua waende yeye na watoto pamoja na HG, then nimrudishe dogo home nibaki na hawa wadogo zake maisha ya kiumeni yaendelee.

Ni ngumu sana lakn hakuna namna maana Taasisi aliyopata hii kazi ndio ilikuwa ndoto uake (na ni ndoto ya wengi) kuifanyia kazi na ndio hasa field yake ilipo, so wataenda huku nikiendelea kupiganisha kwa wakubwa zake ili arudi.

Maisha ya kupanga nayo pia ni changamoto ukiwa na watoto, but all is well, tutapambana
 
Kwani we ukisikia shinyanga unawazaje kwani? Hiyo hali ya hewa ina maana unataka kusema hakuna watu wanaoishi au unadhani shinyanga ni jehanamu???
Kwa taarifa yako shinyanga unayoiwazia wala sio kama hiyo. Shinyanga ni town tena pa kishua unless iwe ni shinyanga DC
Shinyanga palivyojaa baiskel mjini pamekuwa pakishua lini kaka!? 🤣
 
Kuishi Mkoa mwingine na mkeo awe anafanyakazi Mkoa mwingine, hapo ni suala la muda tu. Baada ya mwaka mmoja tu kilakitu kitakuwa wazi. Huyo mkeo atakuwa na mume mwingine na wewe utakuwa na mbadala wa mkeo.

Binafsi sitaruhusu kitu kama hiki kitokee kwa mke wangu. Labda kama anaenda kwenye semina ya wiki moja na kurudi lakini sio kuhamia kikazi.
Sawa Mkuu, yote ni maamzi tu!
 
Nakushauri mwache aende na watoto

Nakushauri muache aende na watoto ni muhimu. Watoto katika umri huo wanahitaji Malezi ya mama Sana kuliko baba. Hivyo mtafutie Dada wa kazi atakayekua anamsaidia majukumu. Pia hakikisha unakuwa karibu na mke wako kwenye mawasiliano, kila wakati na kumpa moyo. Distance ni simu kwenye mahusiano bt ukimuweka karibu mtakua salama.
Ahsante sana Mkuu
 
Ndio maana sitaki kuoa.

Kuoa ni mkataba wa kijinga sana.

Mpaka unafkia kuoa basi umejiweza kila kitu na sio tegemezi.

Nyinyi wote ni wategemezi wa kazi.

Hapo kuna HELA na Ndoa vita yake si ya kawaida.
Upo sahihi
 
Duh umenifurahisha sana mkuu,eti kama ndoa tulizo nazo sisi,sidhani kama ni kweli,nakushauri usiweke fikira na akili zako kwa mwanamke.

Siku ukigundua ayafanyayo utakufa kabimba ka ngi, usikute mkeo anachepuka kila siku huku wewe wajisifu una stable family

Acha kabisa
Tabia ya mtu pia huchangia haya, wanawake wanaweza vumilia kuliko sisi mpwa, anaweza akakaa mwaka mzima bila kufanya niaje, ila sisi ndio tatizo. Kila hatua Dua
 
Asee wew jamaa Una mke anajua jukumu lake mwanaume kuish na watoto ni changamoto sana maan unawez jikuta Ata umemvuruga bk-3

Pili ni usalama wa mkeo akiwa na watoto ATA muda WA kuwaz upuuz utapungua na kdogo atapew HESHIMA ya directly

Tafuta watu huko wamtafutie nyuma , nenda kamriposhe then rud endelea na majukumu ya kaz yako ukipata fursa nenda chapu

Habar za kuhama subr kwanza aanze kazi ILA kama vp unawez NPA taarfa ni taasisi gan ili kama nawez ndan ya mwak huu tumchomoe

Hakikish wew ni Risk taker
 
Mkuu nakushukru sana, acha nipambane tuone then nitazama DM mambo yakigoma, Ni Mamlaka yetu hii ya kukusanya kodi, nadhani umenielewa!
 
Sasa hapo hakuna tofauti mkuu, kwenye hizo semina za week mojamoja ndio hizo wananzengo wanapojilipua,

Hizo semina za week mojamoja ukizigawa ndani ya mwezi huyo my wife wako hatakuwa tofauti na huyo mke wa jamaa anayehamishiwa shinyanga[emoji1787][emoji1787]
Mwamba anafeli sana 🤣🤣
 
Back
Top Bottom