Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,080
Nakushauri mwache aende na watotoHabarini wapendwa.
Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja).
Sasa nina changamoto moja,
Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto awaache, ila yeye anahisi hataweza bila watoto hasa huyu mdogo, hiki kitu kinaniumiza kichwa sababu hatujui ni lini taasisi yake itakubali kumhamishia hapa nilipo.
Wazoefu naomba mawazo yenu!
Ahsante:
Nakushauri muache aende na watoto ni muhimu. Watoto katika umri huo wanahitaji Malezi ya mama Sana kuliko baba. Hivyo mtafutie Dada wa kazi atakayekua anamsaidia majukumu. Pia hakikisha unakuwa karibu na mke wako kwenye mawasiliano, kila wakati na kumpa moyo. Distance ni simu kwenye mahusiano bt ukimuweka karibu mtakua salama.Habarini wapendwa.