Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

kama atafuatafuata tu anaweza kushindwa kuitunza ndoa
 
Ndio maana sitaki kuoa.

Kuoa ni mkataba wa kijinga sana.

Mpaka unafkia kuoa basi umejiweza kila kitu na sio tegemezi.

Nyinyi wote ni wategemezi wa kazi.

Hapo kuna HELA na Ndoa vita yake si ya kawaida.
 
Mkubwa 3yrs, Mdogo Mwaka mmoja katimiza mwezi huu
Bado mke Ni mbichi kuliwa kuko pale pale
 
Ahsante sana flowerss umetisha sana Shem, ujue hapa si kwamba ninakaa peke yangu, nakaa na mdogo wangu wa kike, nipo na mfanyakazi na wadogo zake wawili wa kiume, so nilihisi hata kama si mim wa kulea watoto wadogo zake wapo na watasaidiana na mdogo wangu pamoja na huyu HG, ila kwa maoni haya, nimeamua waende yeye na watoto pamoja na HG, then nimrudishe dogo home nibaki na hawa wadogo zake maisha ya kiumeni yaendelee.

Ni ngumu sana lakn hakuna namna maana Taasisi aliyopata hii kazi ndio ilikuwa ndoto uake (na ni ndoto ya wengi) kuifanyia kazi na ndio hasa field yake ilipo, so wataenda huku nikiendelea kupiganisha kwa wakubwa zake ili arudi.

Maisha ya kupanga nayo pia ni changamoto ukiwa na watoto, but all is well, tutapambana
 
Shinyanga palivyojaa baiskel mjini pamekuwa pakishua lini kaka!? 🤣
 
Sawa Mkuu, yote ni maamzi tu!
 
Ahsante sana Mkuu
 
Ndio maana sitaki kuoa.

Kuoa ni mkataba wa kijinga sana.

Mpaka unafkia kuoa basi umejiweza kila kitu na sio tegemezi.

Nyinyi wote ni wategemezi wa kazi.

Hapo kuna HELA na Ndoa vita yake si ya kawaida.
Upo sahihi
 
Tabia ya mtu pia huchangia haya, wanawake wanaweza vumilia kuliko sisi mpwa, anaweza akakaa mwaka mzima bila kufanya niaje, ila sisi ndio tatizo. Kila hatua Dua
 
Asee wew jamaa Una mke anajua jukumu lake mwanaume kuish na watoto ni changamoto sana maan unawez jikuta Ata umemvuruga bk-3

Pili ni usalama wa mkeo akiwa na watoto ATA muda WA kuwaz upuuz utapungua na kdogo atapew HESHIMA ya directly


Tafuta watu huko wamtafutie nyuma , nenda kamriposhe then rud endelea na majukumu ya kaz yako ukipata fursa nenda chapu


Habar za kuhama subr kwanza aanze kazi ILA kama vp unawez NPA taarfa ni taasisi gan ili kama nawez ndan ya mwak huu tumchomoe

Hakikish wew ni Risk taker
 
Mkuu nakushukru sana, acha nipambane tuone then nitazama DM mambo yakigoma, Ni Mamlaka yetu hii ya kukusanya kodi, nadhani umenielewa!
 
Mwamba anafeli sana 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…