Mke Wangu katoroka na watoto wetu wa nne. Naombeni ushauri


Upo sahihi, nakuelewa
 
Pole,ishini nao kwa akili,na hapo kama mama mkwe naye kashajiingiza shida itazidi kuwa kubwa.Mkwe na ndugu wa damu wakishaanza kuingilia mahusiano yenu basi hapo jiandae mkuu...
 
Kwanza kabisa ni kabila gani huyo mwanamke
2.Mkeo ana umri gani?
3.Hata akirudi kata mawasilianino yakijinga na huko kwao maana watakupoteza yaani mwanamke anamsikiliza sana mzazi wake kuliko maendeleo ya familia yake
 
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana nae
Mkalishe mama mkwe chini muambie aache mazoea ya kipumbavu katika ndoa za watu
 
Yaani mtu kaenda alikozaliwa unasema katoroka🤣🤣🤣🤣. Lala usingizi wewe
 
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana n
 
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana nae
Upo sahihi hawa mama wakwe wanachangia sn kuharibu ndoa za watoto wao usiri uliopitiliza kati ya mama na mtoto hupelekea waanze kukujadili na mkeo kuanza kutoa siri za ndani na mwisho mambo yanaharibika

Nyie wakwe embu tulieni basi nyie mshakula ujana wenu acheni watoto wenu watulie kwenye ndoa zao
 
Asiende kuongea upuuzi ukweni wkt wenyewe ndio wameanza upuuzi alah, yaani mkwe aparamie ndoa yangu halafu nimchekee, waanze kujiheshimu wao kwanza ndio nitawaheshimu,

Kuhusu sababu za kumzuia kwenda kwao na kumnyima nauli mwamba amezieleza hapo ulitaka afanyeje, nyie ndio kila asemacho mwanamke mnakubali mkiamini ni mapenzi kumbe ni ujinga tu.
 
Arudi wapi tena?mwambie ushaoa mke mwingine,na watoto abaki nao..si wake pia?utazaa wengine. Sheinzy zake na mamake.
 
Ulipomnyima mkeo nauli ulikua huna hela kweli au ulitaka kumkomesha tu?

Kama ungemsemesha kistaarabu angekuelewa tu wala isingekua issue,
Ungeweza hata kumwambia kua ''Kwasasa sina hela,nisubiria kidogo nitakupatia,au subiri mpaka siku fulani tutakwenda wote''

Mke ni kama mtoto tu ambaye anatakiwa kua controlled na wewe,

Mkwe wako anapata Info kutoka kwa Mkeo,na anaelezewa mambo mabaya,kama mzazi anapata uchungu wa mwanae,ndio maana akakwambia hivyo,

Solution,
Maisha ni yenu,na watoto ni wenu ambao wanahitaji malezi bora ya Baba na Mama,siri za ndani hazitakiwi kutoka nje,

Cha kufanya,

Mueleze Mkeo msimamo wako kua hutaki mtu wa nje aingilie maisha yenu wala awapangie jinsi ya kuishi,kama mkeo atakubaliana na wewe,msamehe na muendelee kulea watoto wenu ambao wanahitaji malezi ya Baba na Mama,pia na wewe upunguze kumnyanyasa kama ulivyomjibu kua ''Sina nauli'' kua na lugha nzuri unapoongea nae,kila Mwanamke/Binadamu ana mapungufu yake,unaweza kupata Mwanamke mwingine ila akaja kua worst kuliko huyo mkeo,

Sioni kama kuna kosa kubwa sana la mpaka kupelekea wewe na mkeo muachane,

All the Best Mkuu.
 
Muache Apumzike tu, watoto popote watakapo kuwa bado ni wa kwako, kama atawarudisha no vizuri Zaid ila yeye Muache akaishi na mamaye!
 

Ulimuoa huyo mwanamke au sogea tuishi? Maana unapangiwaje maamuzi kwenye familia yako?
 
Kuna namna ulitengeneza mazingira ya mke na mama yake kukutawala, na ninahisi huyu mama hana mume, ila pia kuna uwezekano mke wako mnashare na mtu na mama mkwe anamjua.
Kuolewa, maana yake mke hatakiwi kuondoka bila ruhusa yako, kwa jambo lolote lile, kwa kuwa ameondoka bila ruhusa, na wewe usikubali arudi sio tu bila ruhusa, familia waje waombe msamaha, na wakiomba piga ban kwanza mwezi mzima. Ila hakikisha umenunua chakula huko kwao kwa ajili ya watoto (mchele,unga, mafuta, sukari, maharage) usimpe hela au kutuma.
Kwenye kikao weka principle zako wazi;

  • huyu kashatoka huko kwao, na wewe ndio kila kitu, kama hawaridhiki wakae na mtoto wao.
  • Maamuzi ya nyumbani kwako hawatakiwi kuingilia labda kutoa ushauri
  • Akiwa na shida akashtaki kwenu sio kwao, failure to do so ni dismissal
Shida kuna vitabia ulivi intertain ndio vimeleta shida zote hizo
Wewe ni dhaifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…