Wakuu habari
Kichwa cha habar cha husika
Sindio Sasa. Very soon atapata mke mwenza onlineπMke wake ana vision π
Sasa nyie mmeshindwa kuyamaliza mnaoongea mmevua nguo, sisi kweli wa kuongea naye tumevaa nguo tutayaweza kweli? Subiri siku moja amkute mzee Masanja na kofia yake yuko kweupe amrushe kwenye mtandao ndiyo utajua cha kufanya!Wakuu habari
Kichwa cha habar cha husika
Nimekujaa, namwaambia tu ndiyo madhara ya kuoa watoto wadogo hayo. Watu wazima huo muda wa kupost picha na videos unatoa wapi ikiwa majukumu kibao?π€ͺUkiacha uvulana naye ataacha kukupost, mtaalamu wangu financial services njoo ujionee ya mjini kati
Au ndo wale wanaosema kaoa watoto wa elfu mbiliππNimekujaa, namwaambia tu ndiyo madhara ya kuoa watoto wadogo hayo. Watu wazima huo muda wa kupost picha na videos unatoa wapi ikiwa majukumu kibao?π€ͺ
Ndiyo hao, wanatuacha sisi mashangazi wa 80'sAu ndo wale wanaosema kaoa watoto wa elfu mbiliππ
Lete namba yake ili tumkanye juu ya madhara ya hiyo tabia!!!Wakuu habari
Kichwa cha habar cha husika
ππππ Ninyi huwa mnawajibu maanko kuwa "nipo kwe strong relation" ndo Mana wanaamu kujichukulia vitoto vya elfu mbili ambavyo ni "vifotografa"πNdiyo hao, wanatuacha sisi mashangazi wa 80's