Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

Au alipitia mambo mengi nyuma na kuambiwa hawezi kuolewa na sasa ana mme. . anatumia nafasi hiyo kuwaonesha walimwengu kuwa sasa kaolewa 😁
 
Na wewe mpige,mrushe tena kwenye magroup yote ya watsup,tik tok,Insta,you tube, tweet ,fb na humu JF
 
Wakuu habari
Kichwa cha habar cha husika
Sasa nyie mmeshindwa kuyamaliza mnaoongea mmevua nguo, sisi kweli wa kuongea naye tumevaa nguo tutayaweza kweli? Subiri siku moja amkute mzee Masanja na kofia yake yuko kweupe amrushe kwenye mtandao ndiyo utajua cha kufanya!
 
Anakipaji, kuwa manager wake mtapiga hela.
 
Possibly we na huyo the so called mkeo mna umri wa miaka 15 kila mmoja..maana mna ujinga ujinga kama vitoto vya primary school.
 
Itakua mchepuko wake kaoa au kapata demu mwingine na anamweka wazi mitandaoni
 
Back
Top Bottom