Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

HiHii hatari kuna mbwa wachafu sana, Sasa waone wakiwa Kwa barabara utadhani ni vinara wa usafi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmhm.. mwanamke mchafu anakwaza mnoo. Hata hamu ya kua nae karibu inakosa
 
Acha ujinga na unywanywa na utondoti. Hayo ni mambo ya ndani. Hata tukijua itawasaidia nini zaidi ya kuanika siri zako nje. Hayo kawaambie mama yako na mama mkwe. Hata baba yako wala baba mkwe hawapaswi kujua.
Usitufokee sasa[emoji1733]
 
Puuua
 
Nafarijika navoona na wake wa wenzangu ni wachafu, nilidhani ni wakwangu tu! Niwambie tu mimi huwa nafanya usafi mwenyewe maana huyu mwanamke ameshindikana.
 
Kuwa na mfanyakazi uwe unamuelekeza

Ama
Lipa mtu aje fanya usafi
Mfano Mara 1 kwa wiki nje
Mara 3 kwa wiki ndani
 
Kabila gani au mgogo nini maana wagogo ni wachafu sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nafarijika navoona na wake wa wenzangu ni wachafu, nilidhani ni wakwangu tu! Niwambie tu mimi huwa nafanya usafi mwenyewe maana huyu mwanamke ameshindikana.
Afu unakuta kitandani anajifanya fundi ukisha maliza kummiminia mbegu anakufuta na kipande Cha kanga na yeye anajifuta alafu analala haendi kuoga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Namshukuru MUNGU katika oa oa yangu kati ya niliyewahi kumuoa alikuwa msafi mpaka tunaachana na huyu wapili pia vivyo hivyo .
Sema kila mwanamke na kasoro zake mi huyu mke wangu kwa kiburi ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…