Mtu porii
Member
- Jan 29, 2024
- 42
- 160
Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika.
Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo.
Juzi tena nimeona kachat na jamaa mwngine like wise anadai kwenye chating aliulizwa uliyempost ndo mmeo akajibu n my friend ananisaidia mambo yangu.
Nimefikilia adhabu ya kumpa itakayobak fundisho kwake mana nahis ataelewa..natak adhabu ambayo nikimpa ataifeel..tang jana sijajib sms zake hd leo anajichatisha tu.
NB sms zake naziona kuptia seting niliyofanya kwenye simu yake naomba kuwaslisha