Mke wangu msaliti

Mke wangu msaliti

Mtu porii

Member
Joined
Jan 29, 2024
Posts
42
Reaction score
160
Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika.

Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo.

Juzi tena nimeona kachat na jamaa mwngine like wise anadai kwenye chating aliulizwa uliyempost ndo mmeo akajibu n my friend ananisaidia mambo yangu.

Nimefikilia adhabu ya kumpa itakayobak fundisho kwake mana nahis ataelewa..natak adhabu ambayo nikimpa ataifeel..tang jana sijajib sms zake hd leo anajichatisha tu.

NB sms zake naziona kuptia seting niliyofanya kwenye simu yake naomba kuwaslisha
 
mke au mchumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan huyo mwanamke ndio wakusema we ni sponsor kweli..?
Huyo ukiingia nae kwenye ndoa utarudi hapa kuomba ushauri.....pia inaonekana ni kama bado hakuamini...
 
Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika.

Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo.

Juzi tena nimeona kachat na jamaa mwngine like wise anadai kwenye chating aliulizwa uliyempost ndo mmeo akajibu n my friend ananisaidia mambo yangu.

Nimefikilia adhabu ya kumpa itakayobak fundisho kwake mana nahis ataelewa..natak adhabu ambayo nikimpa ataifeel..tang jana sijajib sms zake hd leo anajichatisha tu.

NB sms zake naziona kuptia seting niliyofanya kwenye simu yake naomba kuwaslisha
Juzi tena nimeona kachat na jamaa mwngine like wise anadai kwenye chating aliulizwa uliyempost ndo mmeo akajibu n my friend ananisaidia mambo yangu.[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefikilia adhabu ya kumpa itakayobak fundisho kwake mana nahis ataelewa..natak adhabu ambayo nikimpa ataifeel..😡
NAONA UNAANZA KUCHANGANYIKIWA, AMESHINDWA KUKUFEEL KWENYE MAPENZI ATAKUFEEL KWENYE ADHABU, UNATAKA KUFIA JELA WEWE HUKU WAHUNI WAKIMGEGEDA KWENYE GETO UTAKALOMWACHA. ACHA UPIMBI.
TAFUTA CHUMBA TARATIBU, UKIPATA SUBIRI AONDOKE HATA KAZINI KAMA HANA KAZI MTAFUTIE SAFARI, AKIRUDI AKUTE VITU VYAKE TU HAPO GETO WEWE SEPA KIMYA KIMYA BILA KUMUAGA AU KUMPA TAARIFA. NA USITAKE MAZOEA NAYE YOYOTE YALE. KUNA WENGI WANAKUTEGEMEA NA MWANAMKE WAKO BADO HUJAMPATA, UKIMPATA HAUTATUMIA NGUVU, KICHWA KAMA ANDAZI LA MAMA MUDY.
 
Back
Top Bottom