Usimwongopee. Hana haki ya kumwita ubin wa kwao. Pia hawezi kulazimisha mtoto aitwe ubin wa kwake. Mtoto ana baba yake regardless haishi na mama wa mtoto. Hata kama hamhudumii.Hamna ndoa hapo!! Bado anampenda baba mtoto kuliko wewe, na hiyo ni dalili yenye ujumbe kutoka moyoni mwake.
Wakati mwengine, ni busara kumwangamiza adui kabla hajakufikia.
Hata kama utalipia kila kitu bado huna sifa ya kumwitia ubin wa kwenu. Fanya bidii mzae wa kwenu kwa mbegu zako halisi.Acha niendelee na mambo yangu ya kitoto,ada ya shule na vitu vyote vya msingi alipie baba yake mzazi
Kuzaa na wasioweza kulea hakuhalalishi kumpora baba mwenye mtoto wake. Yaani sioni kinachowapa nguvu ya kumtetea huyo kijana. Mtoto siyo wake nahana haki ya kumwitia ubini wake au wa kwao FULL STOP. Kung'ang'ania hivyo ni ujuha tu! Ni ujuha tu!Kama angekuwa anajielewa angetulia asingezaa na vibaka wanaoshindwa kuhudumia watoto
Ingawa kwas kiasi kikubwa kuna ukweli katika hoja yako ila single Mother ameshindwa kuiwasilisha hoja yake kwa staha Kwa mwenza wake.Mtoto anahaki ya kumjua baba yake mzazi, ndugu na ukoo wake.
Kumbadilisha jina la ubini na ukoo wake ulitaka kumnyima mtoto haki hiyo, ulikurupuka bro single mother yupo sahihi
Ulianzaje kununua kiwanja chenye mgogoro?Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Kuna watu wanapelekeshwa sana na mapenzi aisee.. duhNatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Uko sahihi kabisa kuipiga chini hiyo nguchiroNatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Nakuunga mkono. Alipaswa aongee nawe kwa utulivu mfikie mwafaka. Eti "zaa na wewe wa kwako ......" hayo ni matusi.Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Kule shuleni kinachotakiwa kuandikwa ni jina la mzazi au mlezi anayeishi na mtoto. Alikuwa sahihi kuandikisha ubini wake.Safi sana. Kiherehere chako hicho unaona sasa?
Hapo wewe ndo mwenye kosa. Mambo hayo ni muhimu muongee muelewane mapema hata kabla hamjaenda sana kwenye mahusiano ili mnapoingia, kila mtu anajua mipaka yake.
Hapo wewe ulichukulia kwamba kwa kuwa unampenda mama yake na una malengo naye, unaona bora uzike utambulisho wa mtoto ili umuasili moja kwa moja, hili ni jambo jema lakini mjadala mpana unahitajika kabla ya kuja na vitendo.
Huyo mtoto utakuta kwenye cheti chake cha kuzaliwa anatumia ubini wa baba yake sasa wewe unataka kuvuruga.
Upande wa pili pia kuna shida, jifunze kitu hapo, kwa hilo biti na maelezo ya huyo mpenzi wako, naweza kukuambia huna mke hapo. Utakuja kulia chooni na kuendelea kumuhudumia huyo mtoto ni kujipendekeza tu.
Hapo uamue kusuka au kunyoa lakini kichwa kibaki.
Nimesoma heading kwanza nimesisimka kabla sijasoma uzi wote ngoja kwanza nicomment kama ifuatavyo:Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Piga chini mshenzi huyo, wanakurupukaga tu bila lolote la maana, na hiyo ni ameku-beep tu, ukikaa nae huko baadae utajutaNatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Wanawake mnadanganywa sana na feminist kuweni makini baadae msije kumsumbua mwamposa tuHuna mbegu za kumzalisha mtoto wa kumwita ubini wako? Acha ubinafsi uliopindukia.
Piga chini ndio. Mwanamke amefanya maamuzi sahihi kabisa. Wanaume wapo tuu.... Tena wa kutosha kwa wanawake wanaojielewa.