Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Hamna ndoa hapo!! Bado anampenda baba mtoto kuliko wewe, na hiyo ni dalili yenye ujumbe kutoka moyoni mwake.
Wakati mwengine, ni busara kumwangamiza adui kabla hajakufikia.
Usimwongopee. Hana haki ya kumwita ubin wa kwao. Pia hawezi kulazimisha mtoto aitwe ubin wa kwake. Mtoto ana baba yake regardless haishi na mama wa mtoto. Hata kama hamhudumii.
Yaani ataweza kujisifia kuwa ana mtoto? Kuwa amemwa-adopt nini??!!
 
Mtoa maada sijaelewa kabisa hapo ugomvi uko wapi? Kwanza Baba unapata wapi muda wa kuandika majina kwenye madaftari ya mtoto? Unajaladia nn?😂😂 Nadhani tatizo limeanzia hapa
 
Kama angekuwa anajielewa angetulia asingezaa na vibaka wanaoshindwa kuhudumia watoto
Kuzaa na wasioweza kulea hakuhalalishi kumpora baba mwenye mtoto wake. Yaani sioni kinachowapa nguvu ya kumtetea huyo kijana. Mtoto siyo wake nahana haki ya kumwitia ubini wake au wa kwao FULL STOP. Kung'ang'ania hivyo ni ujuha tu! Ni ujuha tu!
 
Mtoto anahaki ya kumjua baba yake mzazi, ndugu na ukoo wake.
Kumbadilisha jina la ubini na ukoo wake ulitaka kumnyima mtoto haki hiyo, ulikurupuka bro single mother yupo sahihi
Ingawa kwas kiasi kikubwa kuna ukweli katika hoja yako ila single Mother ameshindwa kuiwasilisha hoja yake kwa staha Kwa mwenza wake.

Kitendo cha mpaka kuchana madaftari hakikubaliki kabisa. Yaani amemjengea picha mbaya kwa mtoto kama Baba huyu si mwema mpaka hakustahili kupokea zawadi yake ukaichukua wakati huo huo anakula ugali wake.

Huyo Single Mother hazimtoshi kabisa kama angekuwa na akili basi angemuweka mbali huyo mtoto wake na Mchumba wake. Angeishi kwa Bibi yake basi au kwa Mjomba, Mama mkubwa au ndugu yeyote. Hawezi kumjali hivyo mtoto kwa kila kitu ila kutumia jina lake ikawa haramu.!

Na kitendo cha kupiga simu mfululizo kwa Mchumba wake ni udhihirisho kuwa kote alipopeleka Klkes8 yake wenzake wakamuambia kuwa umechemka sana. Ikabidi amkokote Mamake mzazi kuja kumuombea msamaha kwa mwenzake.

Kusitisha mahusiano naye amefanya jambo jema sana kwa mustabali wa future yao wote wawili. Ukorofi wa huyu Dada inawezekana kabisa ndiyo chanzo cha Baba mtoto wake kutokomea kusilko julikana.
 
Ndugu mjumbe nimekuonya sana tabia yako ya kutohudhuria vikao, cha mwisho tulikubaliana tusioe
 
😂😂😂😂😂😂😂😂Embu Wacha nicheke mie brother mahusiano nikama Sheria hukumu ipo katika moyo wako ulijiongeza vyema binafsi imenikuta kama hiyonilivoona mazingira sio nilitulia kuondoka htk mwisho wa picha kajamisha room nzima geto nikaanza upya shukuru pia
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Ulianzaje kununua kiwanja chenye mgogoro?
 
Kuna watu wanapelekeshwa sana na mapenzi aisee.. duh
 
Uko sahihi kabisa kuipiga chini hiyo nguchiro
FB_IMG_1589782972465.jpg
 
Nakuunga mkono. Alipaswa aongee nawe kwa utulivu mfikie mwafaka. Eti "zaa na wewe wa kwako ......" hayo ni matusi.

Nyumbani kwangu ubini ni mmoja tu. Kama hataki aende kwa huyo mwenye huo ubini.
 
Safi sana. Kiherehere chako hicho unaona sasa?

Hapo wewe ndo mwenye kosa. Mambo hayo ni muhimu muongee muelewane mapema hata kabla hamjaenda sana kwenye mahusiano ili mnapoingia, kila mtu anajua mipaka yake.

Hapo wewe ulichukulia kwamba kwa kuwa unampenda mama yake na una malengo naye, unaona bora uzike utambulisho wa mtoto ili umuasili moja kwa moja, hili ni jambo jema lakini mjadala mpana unahitajika kabla ya kuja na vitendo.

Huyo mtoto utakuta kwenye cheti chake cha kuzaliwa anatumia ubini wa baba yake sasa wewe unataka kuvuruga.

Upande wa pili pia kuna shida, jifunze kitu hapo, kwa hilo biti na maelezo ya huyo mpenzi wako, naweza kukuambia huna mke hapo. Utakuja kulia chooni na kuendelea kumuhudumia huyo mtoto ni kujipendekeza tu.

Hapo uamue kusuka au kunyoa lakini kichwa kibaki.
Kule shuleni kinachotakiwa kuandikwa ni jina la mzazi au mlezi anayeishi na mtoto. Alikuwa sahihi kuandikisha ubini wake.
Sema tu wangeshauriana kabla ya kuandikisha.
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Nimesoma heading kwanza nimesisimka kabla sijasoma uzi wote ngoja kwanza nicomment kama ifuatavyo:
Je baba wa huyo mtoto alifariki mwaka gani?
Ulishaonyeshwa kaburi lake?
Je ulishaonyeshwa cheti cha kifo ukathibitisha ?
Tofauti na hapo hakuna mke hapo.!
Ngoja nifagie mavi ya kuku kwenye banda ntarudi kusoma uzi wako badae
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Piga chini mshenzi huyo, wanakurupukaga tu bila lolote la maana, na hiyo ni ameku-beep tu, ukikaa nae huko baadae utajuta
 
Huna mbegu za kumzalisha mtoto wa kumwita ubini wako? Acha ubinafsi uliopindukia.

Piga chini ndio. Mwanamke amefanya maamuzi sahihi kabisa. Wanaume wapo tuu.... Tena wa kutosha kwa wanawake wanaojielewa.
Wanawake mnadanganywa sana na feminist kuweni makini baadae msije kumsumbua mwamposa tu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Dada yupo sahihi sema tu reaction yake haikuwa nzuri.
Unambadilishaje jina mtoto bila kumshirikisha mama yake? Halafu unambadisha kwa manufaa yako au ya mtoto? Umeshafikiria haki ya mtoto ipoje juu ya jina la baba yake?
Imagine wewe unapata mtoto bahati mbaya nje ya ndoa ukamleta kwa mkeo anamlea utabadilisha jina la mama wa mtoto kwenye cheti cha kuzaliwa liwe la mke wako?
Acha ubinafsi na ubabe. Ongea kwanza na mama mtoto anaweza kukubali bila ya nguvu unayoitumia.
Pia ulizia kisheria inakuaje sio kumbadilisha tu mtoto jina wakati ana ndugu zake wengine. Hutendi haki kwa mtoto, anaweza akaja kuwachukia kwa kumbadili jina.
 
Back
Top Bottom