Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Kwani kumhudumia mtu ndo kunabadilisha hadi asili yake kibiologia? Hivi unajua nguvu ya jina?? Mtu Ana ukoo wake from nowhere ukabadili jina la mtu kisa tu huduma...hata mimi siwezi kukubali kirahisi
Ndo maana single mother tunawapiga vita, bora wabaki tu kama chombo cha starehe.
 

Mtoto kama unamlea wewe inamaana we ndo baba yake. Utambulike kila legal father. Huyo atakusumbua snaa kaka
 
Umechukua maamuzi sahihi.

Ulifanya kosa kuingiza timu uwanjani wakati ubao unasoma 1-0 dhidi yako. Ila nafurahi kuona ukashtuka katikati ya safari na kufanya maamuzi sahihi.

Wanawake wengi huwa wanaolewa na wanawaume ambao hawawapendi, ila ndo wanaume ambao wamekutana nao wakiwa tayari kuoa na ndoa ni ya mwanamke sio ya mwanaume.

Kwa hiyo huyo anampenda huyo aliyembebea mimba, na huyo mtoto ni alama ya huo upendo. Kwako wewe kafuata pesa tu.
 
Wote wawili wana makosa. Kosa la kwanza, kuishi na mwanamke ambaye ametelekezwa na mwanaume wake tena mtoto akiwa na mwaka mmoja tu. Kama ungetaka kumsaidia ungemsaidia bila kuishi naye. Pili, kutaka kubadilisha jina bila makubalianao. Kisheria huwezi badilisha jina la mtoto bila kufuata utaratibu. Mwanamke hana mapenzi ya kweli, alikuwa anatafuta hifadhi tu . Unatelekezwa na mtoto mwaka mmoja unakuwa na ujasiri gani wa kuishi na mwanaume mwingine? Pia hakutumia busara kuchana daftari na kutoa lugha chafu. Uamuzi ni wako, kusuka au kunyoa. Kama unampenda mkae mjadiliane kuhusu jina la mtoto na jinsi ya kumlea. Pia usimlazimishe kuzaa mtoto mwingine ili hali hamjafunga ndoa maana anaogopa kuwa single mother squire.
 
Baba anahudumia? Ili mradi awe na ubini tu wa baba ake sio
Suala ni hili jamaa amekubali kulea mtoto ambaye sio wakwake, na anajua fika baba yake na mtoto yupo, sasa kuna ulazima gani wakuweka ubini wako ili hali unajua kabisa mtoto si wakwako na umemkuta tayari amekwisha zaliwa?
huo ni ugomvi wakujitakia tu
angalau mwanamke akitelekezwa akiwa mjamzito kisha ukawa umemchukua kidogo hata kuweka ubini wako inakuja ili kwa ajili yakulinda heshima tu ya ndoa na familia kwa ujumla.
mwanaume alipaswa wake chini na mwanamke ili wajadiliane kwanza
japo ashukuru Mungu bomu lililolipuka limemwepusha na majanga 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
A woman is not going to respect you

If she can throw you off of your purpose

By sex and tantrum

Retain and learn to control your urges
 
Wanaume tunatofautiana sana hivi hizo nguvu za kumuita mtoto wa wawatu jina lako ulizitoa wapi,kitu ambacho inatakiwa ujue before u alikuwepo mwanaume anapendwa na ata zaidi yako na kumpata huyo mwanamke ni sababu yule aliyekuwa anampenda alimtelekeza..kwahyo usijipe majukumu yasiyo yako cha msingi we mzalishe watoto wako ata sita watatosha kuitwa kwa jina lako Full stop.
 
Ulitaka ubambikiwe second hand material mtumba kwisha kazi.
Mwambie akwendre na litoto lake. Single mothers ni special Kama michepuko tu sio ndoa.
Mwenye kusikia wosia huu anitumie vocha
 
Hongera sana jamaa umefanya Jambo la busara sana na nashangaa watu mnaomtetea huyo Dada,baba sio kuzalisha baba ni kuhudumia.Nitatoa mfano kwangu baba yangu alimuoa mama yangu akiwa na mtoto tena nadhani wa miaka mitatu Mimi nlizaliwa wakati huyo Dada yangu amefika miaka sita kwa maana tumeachana miaka sita huyo Dada yangu alikua anatumia jina la baba yangu ambaye ndo alimlea Kama mleta mada hapo,na baada ya hapo wakapata watoto wengine wawili mbali na Mimi kwa hiyo tukawa wanne,hamuwezi amin nilikuja kujua huyu sister sio baba yake mzee wangu nikiwa form 3 tena kutokana na shangazi zangu kunitambulishaga kuwa Mimi mtoto wa kwanza kwa Kaka yao,na hiyo imetufanya tupendane na Dada yetu mno kwa kuwa mzee hakuwahi kutubagua na pia cha kushangaza huyo sister yangu anampenda sana mzee kuliko mama, hakuwahi kutaka kumjua baba yake wala familia ya huo ukoo wao.
 
Tumeachana kipindi kile kile ingawa alikuwa na mimba changa matumizi nampatia kama kawaida ila swala la kurudiana ni BIG NO
Ayaaaa jmn
Hasa km ana mimba basi samehe tu
Mwanao asilelewe mbali na baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…