AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Wewe mwanamke nimekupenda bure...Hawezi haribikiwa
Hutujui vzr wanawake!
Itaku-cost hapo mbele....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwanamke nimekupenda bure...Hawezi haribikiwa
Hutujui vzr wanawake!
Itaku-cost hapo mbele....
Ndo maana single mother tunawapiga vita, bora wabaki tu kama chombo cha starehe.Kwani kumhudumia mtu ndo kunabadilisha hadi asili yake kibiologia? Hivi unajua nguvu ya jina?? Mtu Ana ukoo wake from nowhere ukabadili jina la mtu kisa tu huduma...hata mimi siwezi kukubali kirahisi
Mtoto siyo wako na baba yake yupo atatumiaje ubini wako?acha ufala zaa wako
Akikujibu nishtueImeshapita miezi mitano toka utuletee hii- vipi mkuu umefanikiwa kukaza msimamo, au hapa ninavyoandika ndiyo umetoka kutelezesha kwenye pango lake usiku kucha?
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Umechukua maamuzi sahihi.Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Suala ni hili jamaa amekubali kulea mtoto ambaye sio wakwake, na anajua fika baba yake na mtoto yupo, sasa kuna ulazima gani wakuweka ubini wako ili hali unajua kabisa mtoto si wakwako na umemkuta tayari amekwisha zaliwa?Baba anahudumia? Ili mradi awe na ubini tu wa baba ake sio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akikujibu nishtue
Tumeachana kipindi kile kile ingawa alikuwa na mimba changa matumizi nampatia kama kawaida ila swala la kurudiana ni BIG NOImeshapita miezi mitano toka utuletee hii- vipi mkuu umefanikiwa kukaza msimamo, au hapa ninavyoandika ndiyo umetoka kutelezesha kwenye pango lake usiku kucha?
A woman is not going to respect youUlikuwa unatafuta sababu ya kumwacha tu.
Ashakum si matusi. Yaani katika watu maboya wewe unaongoza. Unajua wazi kuwa mtoto syo wako na unakiri umemkuta, Sasa unamwandikisha kwa jina la kwenu ili iweje? Halafu hata huyo mama yake hukumshirikisha usikie atasema nini.
Hata kama ingekuwa baba mzazi wa mtoto hamhudumii bado huna uhalali wa kumwita ubin wa kwenu.
Fanya bidii umpate wako Kama alivyokushauri mama mwenye mtoto/mkeo
Pole brother....inaumizaTumeachana kipindi kile kile ingawa alikuwa na mimba changa matumizi nampatia kama kawaida ila swala la kurudiana ni BIG NO
Amejibu, umeona!?Akikujibu nishtue
Hadi sasa kama hajafanikisha hili akwende zakeUsimlipie ada
Akikuita baba mwambie Mimi sio baba yako
Usimpe zawadi
Mtie mimba,mama yake
Ayaaaa jmnTumeachana kipindi kile kile ingawa alikuwa na mimba changa matumizi nampatia kama kawaida ila swala la kurudiana ni BIG NO