Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah mpe namba zangu nimshauri😆😆 Hana njaa ? Simu za kuomba msamaha zimeshaanza kuingia
Baba mzazi wa mtoto yupo hai ,uyu mwanamke mwnyewe anatambua familia ya jamaa ilikataa mimba kwa kigezo cha kabila/mila ..sio baba mtoto wala familia hakuna yotote aliyewahi kutoa hata senti kwa ajili ya mtoto wao.. baada ya kuniambia madhira hayo hivyo nikajiongeza kwa vile mtoto walimkataa nikaona si mbaya akatumia jina langu la ukooUkiangalia kwa jicho la 3
Mama mtu uwezo wa kukataa kumpa ubini wako mtoto wake hana, hata kama anao ila wema uliomtendea wa kumlea mtoto toka ana mwaka 1 kwa moyo wa mwanamke lazima asingegoma
Why anagoma?
Lazima bado anawasiliana na baba mtoto wake, na huyo baba mtoto wake kamwambia chonde chonde mtoto wangu asibadilishwe jina (wakati huo hajui hata kula ya mtoto, matibabu, wala kuishi ya mtoto wake), ajabu huyo mwanamke ana m protect
Why ana m protect
Bado ana m protect kwa sababu bado huenda anampenda au ana hisia nae, na kitendo cha ku m protect ni indicator moja wapo kua huenda jamaa bado hua anakula mali yako.
Lazima ujifunze ku reason vitu, haiwezekani from no where tu mwanamke akakukatalia tena kwa reaction kubwa hivyo ya kuchana hadi daftari.
Huenda picha ipo hivi unless labda mtoa uzi useme kama baba mtoto yupo hai, au amefariki au ana changamoto yoyote
Ni dhambi kubwa sana kubadili ubini wa mtoto asiye wako,nadhani hata ukisoma biblia,katika agano la kale Kama kijana alioa na akafa bila ya kuzaa na mke wake ilibidi ndugu yake wa damu amchukue huyo mke ili azae naye na mtoto huyo alipaswa kuitwa kwa ubini wa Marehemu ,hii yote ilikuwa na Nia ya kuendeleza uhai wa Marehemu,Yani kumfanya aendelee kuishi kiroho.nyie ndo huwa mnasaidiwa watu wa jinsia ya kike baadae mnawataka huduma ya ngono!!!
[emoji115] >> [emoji3][emoji3][emoji3]
Sina neno cause I know who I am, ila kama umeandika kwa kuamini, basi nikujulishe kua sipo hivyo kabisa.
Sema tumefofautiana tu mtizamo na mawazo na kitu ambacho sio dhambi
Baba mzazi wa mtoto yupo hai ,uyu mwanamke mwnyewe anatambua familia ya jamaa ilikataa mimba kwa kigezo cha kabila/mila ..sio baba mtoto wala familia hakuna yotote aliyewahi kutoa hata senti kwa ajili ya mtoto wao.. baada ya kuniambia madhira hayo hivyo nikajiongeza kwa vile mtoto walimkataa nikaona si mbaya akatumia jina langu la ukoo.Ni dhambi kubwa sana kubadili ubini wa mtoto asiye wako,nadhani hata ukisoma biblia,katika agano la kale Kama kijana alioa na akafa bila ya kuzaa na mke wake ilibidi ndugu yake wa damu amchukue huyo mke ili azae naye na mtoto huyo alipaswa kuitwa kwa ubini wa Marehemu ,hii yote ilikuwa na Nia ya kuendeleza uhai wa Marehemu,Yani kumfanya aendelee kuishi kiroho.
Hebu chukulia Leo hii wewe una watoto chini ya miaka minne na kwa bahati mbaya unaaga dunia dheni aje mwanamme wa mawazo ya kipuuzi Kama ya mtoa hoja eti ili awasaidie watoto aliomkuta mkeo anao Basi wabadili ubini,naamini huyo mke kwa upande wangu atapatwa na laana kubwa sana, watoto kuendelea kuitwa kwa ubini wa mwanamme Ni baraka katika ulimwengu wa rro
Huyo mwanamke mamsifu kwa ujasiri wake. HiviI huna hata aibu kung'ang'ania mtoto asiye wako?Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
kwahiyo asimlipie ada wala mtoto asimuite baba..ZAA WAKO
Sasa unalalamika nini? Kumkataa hakuondoi ukweli kuwa sio damu take.Baba mzazi wa mtoto yupo hai ,uyu mwanamke mwnyewe anatambua familia ya jamaa ilikataa mimba kwa kigezo cha kabila/mila ..sio baba mtoto wala familia hakuna yotote aliyewahi kutoa hata senti kwa ajili ya mtoto wao.. baada ya kuniambia madhira hayo hivyo nikajiongeza kwa vile mtoto walimkataa nikaona si mbaya akatumia jina langu la ukoo.
Familia yao imemkataa kwa kigezo cha kabila na mila kuna sababu ya mtoto kutumia ilo jina
Zaa wa kwako,Tena nakuasa usijaribu kitu Kama hicho,Kama unataka mtoto wa ubini wako piga mashine na Kama huna uwezo wa kuzalisha Basi nenda vituo vya kulelea watoto yatima huko Kuna watoto ambao baba zao na mama zao hawajulikani hivyo utakuwa huru kumpa mtoto ubini wako[emoji849][emoji849]Baba mzazi wa mtoto yupo hai ,uyu mwanamke mwnyewe anatambua familia ya jamaa ilikataa mimba kwa kigezo cha kabila/mila ..sio baba mtoto wala familia hakuna yotote aliyewahi kutoa hata senti kwa ajili ya mtoto wao.. baada ya kuniambia madhira hayo hivyo nikajiongeza kwa vile mtoto walimkataa nikaona si mbaya akatumia jina langu la ukoo.
Familia yao imemkataa kwa kigezo cha kabila na mila kuna sababu ya mtoto kutumia ilo jina?
Tayari nimeshamaliza nae tangu Jana anahangaika sasa hivi kunipigia simuHa
Sasa unalalamika nini? Kumkataa hakuondoi ukweli kuwa sio damu take.
kwahiyo asimlipie ada wala mtoto asimuite baba..
Alichosema mwanamke ni sahihi ila njia iliyotumika sio sahihi shukuru mungu hilo limetokea mapemaNatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
Ubini wa baba wa kambo sijawahi sikia. Ubini ni wa baba mzazi au kama hajamkomboa ni wa babu mzaa mama, kama unataka mkubaliane umu adopt rasmi kisheria au kimila siyo kiholela kwa kujiamulia.Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
[emoji1666][emoji1666] mkuu popote ulipo agiza chochote kwa bili yangu, Upo sahihi.Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
Kumlipia Ada sio kigezo Cha kubadili ubini wa mtoto ambaye ana baba yake halali,Kama anataka mtoto wa bure ili ampe ubini wake aende vituo vya kulelea watoto yatima .kwahiyo asimlipie ada wala mtoto asimuite baba..
Kweli vijana wengine hawana akili kweli Baba mtoto yupo hai kimbelembele cha kumlipia Ada kina kujaje? Kwanin asisomeshe watoto yatima wapo wengi wenye huitajiUsimlipie ada
Akikuita baba mwambie Mimi sio baba yako
Usimpe zawadi
Mtie mimba,mama yake
Wewe bado mtoto mdogo Sana kifikira, narudia Tena zaa mtoto wako umpe ubini wako sio kung'ang'ana na sperm za wanaume wenzakoMREJESHO