t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Una kauli ngumu kweli , na nahisi ndo sababu wanazidi kuwaogopa single mothers,Ndio. Baba mzazi atalipa ada. Nani alikwambia ujipendekeze kulipa na kununua madaftari kwa gia ya kubadilisha ubini wa mtoto.
Endelea na ratiba zako huku ukineemesha mbegu za uzazi upate mtoto wa kumwita ubini wako huko mbele ya safari.
Mtu kakukuta na mttoto baba hayupo anaamua kuwa na wewe na mtoto wako ,ili maisha yaendelee halafu unasema mtu huyo anajipendekeza ??