witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ahaaaahaaahaaa[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna kitu kinakera kama unajipinda na hali hii ilivyo ngumu kumlipia school fees na matunzo mengine mtoto wa single mother kwa sababu uko na mama yake kwenye mahusiano then midaftari yote imeandikwa majina ya mwanaume mwingine ambaye yuko bussy na mambo yake uko. Then mbaya zaidi mtoto awe anamfanana baba yake [emoji817] ndo inakera zaidi. Yaani ukimuona mtoto unamuona mme mwenzako in full effect [emoji4][emoji4]